Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kashfa Hospitali ya Ocean Road

Kashfa imeikumba Hospitali ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kutokana na tuhuma za mmoja wa wauguzi wake kumuuzia dawa ‘feki’ mgonjwa ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika taasisi hiyo ya Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Waisaidia Hospitali ya Ocean Road

Benki ya NMB wakati wote inaamini katika kugusa na kubadili maisha ya wanajamii, ushiriki wa Wafanyakazi katika programu za kuisaidia jamii umeongezeka maradufu ukichangiwa zaidi na ari waliyonayo kutaka kupunguza changamoto na kero zilizopo kwenye jamii inayowazunguka na wanayoihudumia.Kaimu Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Seka Urio (kushoto) akimkabidhi vifaa vya Hospitali Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Ocean Road , Dk. Asafu Munema ikiwa ni michango ya wafanyakazi wa Benki...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road

Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’, Amitin Mbamba (kulia), akikabidhi msaada wa machela za kisasa mbili, ‘wheel chair’ mbili na bidhaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya milioni 5/-, kwa Muuguzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Mary Haule, kwaajili ya matumizi ya wagongwa katika taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni wanachama wa Airtel Diva. Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni ya TTCL yatoa msaada Hospitali ya Ocean Road

Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni maofisa wa TTCL. Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni maofisa wa TTCL.Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo.Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada huo. Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy Mwalimu amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road

Ocean Road Cancer Institute, acting chief executive officer, Diwani Msemo speaks at press conference in Dar es Salaam yesterday. 44,000 Tanzanians are diagnosed with cancer disease every year but only 8800 stands a good chance of being full cured. PHOTO| SALIM SHAO

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo.

 

9 years ago

MillardAyo

Utendaji wa Hospitali ya Ocean Road haujamridhisha Waziri wa Afya…maamuzi ya waziri yamefuatia

Kasi ya Rais Magufuli na kila serikali yake inachokifanya kwa sasa Waziri  wa Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk, Diwan Msemo ili kupisha uchunguzi  pamoja na mambo mengine ili kubaini mgongano wa kimaslahi ulioathiri utendaji wa taasisi hiyo chini […]

The post Utendaji wa Hospitali ya Ocean Road haujamridhisha Waziri wa Afya…maamuzi ya waziri yamefuatia appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

Hali inatisha Ocean Road

Hali ni mbaya katika Hospitali ya saratani ya Ocean Road (ORCI), Dar es Salaam kutokana na uhaba mkubwa wa dawa.

 

9 years ago

Mwananchi

Panga la vigogo lahamia Ocean Road

Timuatimua ya watendaji wakuu wa mashirika na taasisi za umma imeendelea jana baada Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kumsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kansa ya kizazi yaongoza Ocean Road

IMEELEZWA kuwa kansa ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza  kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Mganga wa wagonjwa hao, Dk. Harison Chuwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani