Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kansa ya kizazi yaongoza Ocean Road

IMEELEZWA kuwa kansa ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza  kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Mganga wa wagonjwa hao, Dk. Harison Chuwa,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Kutoka Ocean Road hadi Muhimbili kuagwa sabuni za kuogea za kufulia, miswaki na dawa za meno kwa watoto wenye matatizo ya kansa waliolazwa hapo na wazazi .

wanafunzi waliosoma zamani shule za St Joseph's Convent School na Forodhani Secondary School (St Josephs and Forodhani ALUMNI) washerehekea tarehe12 December kwa kuwapelekea wagonjwa 360 wa kansa hospitali za Ocean Road na Muhimbili sabuni za kufulia na kuogea, miswaki na dawa za kusafishia meno. Mkuu wa msafara Collins Rutenge, amesema tarehe 9 Disemba walikuwa wakifanya usafi kila mmoja alipo.  Kama kukindi waliamua kupeleka vifaa vya usafi kwa wagonjwa wa kansa waliolazwa hospitali za...

 

9 years ago

Michuzi

WAWANAWAKE WANAOSUMBULIWA NA KANSA YA KIZAZI WAPATA FARAJA

 Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza(kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kutangaza mfumo ulioshirikisha taasisi za T-MARC Tanzania,Pink Ribbon Red Ribbon na Vodacom Foundation ambayo imetoa kiasi cha Dola za Marekani 87,400 kwa ajili ya kuwawezesha wakina mama waishio vijijini wanaosumbuliwa na Kansa ya kizazi kuweza kusafiri kutoka maeneo wanayoishi hadi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa awali pamoja na matibabu ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AWASILI NAIROBI KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA KUHUSU KANSA YA MATITI,SHINGO YA KIZAZI NA TEZI DUME

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Esther Wanjiru anayelelewa katika Kituo cha watoto cha Mama Ngina huko Nairobi muda mfupi  baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tarehe 19.7.2015.  Mama Salma yupo nchini Kenya kuhudhuria Mkutano wa 9 wa wake wa Marais wa Nchi za Afrika unaozungumzia masuala ya kansa Barani Afrika.  Balozi wa Tanzania nchini Kenya Ndugu John Haule akisalimiana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati...

 

10 years ago

Mwananchi

Hali inatisha Ocean Road

Hali ni mbaya katika Hospitali ya saratani ya Ocean Road (ORCI), Dar es Salaam kutokana na uhaba mkubwa wa dawa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa Hospitali ya Ocean Road

Kashfa imeikumba Hospitali ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kutokana na tuhuma za mmoja wa wauguzi wake kumuuzia dawa ‘feki’ mgonjwa ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika taasisi hiyo ya Serikali.

 

9 years ago

Habarileo

Vigogo wa Ocean Road, DART wasimamishwa

MAWAZIRI wawili jana ‘walitumbua majipu’ baada ya kutangaza kusimamishwa kazi kwa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Asteria Mlambo na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo, wote wakipisha uchunguzi dhidi yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Panga la vigogo lahamia Ocean Road

Timuatimua ya watendaji wakuu wa mashirika na taasisi za umma imeendelea jana baada Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kumsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo.

 

9 years ago

Habarileo

Wanaowahi Ocean Road hupona saratani

SERIKALI imesema kuwa asilimia 20 ya wagonjwa wa saratani, wanaofika mapema katika Taasisi ya Ocean Road, wanatibiwa na kupona.

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KIGAMBONI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KIGAMBONI KUANGALIA MAENDELEO YA TIBA YA KANSA YA KIZAZI KWA KINAMAMA

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (mwenye fulana ya mistari mbele) akizungumza na baadhi ya kinamama wakazi wa Mji wa Kigamboni waliojitokeza kwa wingi kwenye Kituo cha Afya Kigamboni kwa ajili ya kupatiwa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa ya Mlango wa Kizazi kwa kina mama inayoendelea kutolewa leo kituoni hapo.   Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akimuuliza Muuguzi wa zamu namna zoezi hilo la Utoaji wa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani