MAMA SALMA AWASILI NAIROBI KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA KUHUSU KANSA YA MATITI,SHINGO YA KIZAZI NA TEZI DUME
![](http://1.bp.blogspot.com/-Srh7h7cwtf0/Va1qT8H2jcI/AAAAAAAHqtA/yldXXen3rvc/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Esther Wanjiru anayelelewa katika Kituo cha watoto cha Mama Ngina huko Nairobi muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tarehe 19.7.2015. Mama Salma yupo nchini Kenya kuhudhuria Mkutano wa 9 wa wake wa Marais wa Nchi za Afrika unaozungumzia masuala ya kansa Barani Afrika.
Balozi wa Tanzania nchini Kenya Ndugu John Haule akisalimiana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA AFYA KUHUSU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI, MATITI NA TEZI HUKO NEW YORK.
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA 9 WA WAKE WA MARAIS KUHUSU KANSA HUKO NAIROBI
10 years ago
Dewji Blog28 Feb
Mama Salma Kikwete awataka wanaume kuwaunga mkono wake zao kupima saratani za matiti na shingo ya kizazi
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...
10 years ago
MichuziWAMA YAANDAA MKUTANO WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NA MATITI KWA AKINA MAMA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
MichuziMAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI
10 years ago
Vijimambo15 Jun
MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA HUKO AFRIKA KUSINI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1165.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/2124.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/HfULSMZVqrw/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo26 Feb
MAMA SALMA KUKABIDHI MASHINE YA KUPIMA KANSA YA MATITI HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/img_08581.jpg)
Mwenyekiti wa WAMA Mheshimiwa Mama Salma Kikwete atakabidhi msaada wa mashine ya kupimia Kansa ya Matiti katika Hospitali kuu ya Jeshi Lugalo tarehe Ijumaa Februari 27, 2015 saa tatu na nusu (3:30) Asubuhi.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Makao Makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam iliyotolewa leo Alhamisi Feb 26, 2015, imesema makabidhiano hayo yatafanyika kwenye Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ...
10 years ago
Michuzi26 Sep
MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA UN WA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA WASICHANA KIFEDHA
![IMG_2587](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/cZ2ufpNGsspBGQ_QIpUUN78YJpFvlpH2TDd9Fq7KYX-hkRfoRVFr4zUhY8f9sEkt8DODgOokWQm3rv0qjmsIRDxmCOBWgvizzelR4Z9hTkUsrwYxScEs7s_OReE=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_2587.jpg)
![IMG_2605](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/sSsdWKZeS6sODzF5xGunThvH3K4vuOOd8pxKfs65GRRP5PixJ2svd0k2ltKddYksft0Byr9jQGVke3GLycXzxBuavdwZtoErlsjk9R6HMlqOWYBX-_F8OgKRngo=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_2605.jpg)