Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Panga la vigogo lahamia Ocean Road

Timuatimua ya watendaji wakuu wa mashirika na taasisi za umma imeendelea jana baada Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kumsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Vigogo wa Ocean Road, DART wasimamishwa

MAWAZIRI wawili jana ‘walitumbua majipu’ baada ya kutangaza kusimamishwa kazi kwa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Asteria Mlambo na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo, wote wakipisha uchunguzi dhidi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa Hospitali ya Ocean Road

Kashfa imeikumba Hospitali ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kutokana na tuhuma za mmoja wa wauguzi wake kumuuzia dawa ‘feki’ mgonjwa ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika taasisi hiyo ya Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Hali inatisha Ocean Road

Hali ni mbaya katika Hospitali ya saratani ya Ocean Road (ORCI), Dar es Salaam kutokana na uhaba mkubwa wa dawa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kansa ya kizazi yaongoza Ocean Road

IMEELEZWA kuwa kansa ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza  kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Mganga wa wagonjwa hao, Dk. Harison Chuwa,...

 

9 years ago

Habarileo

Wanaowahi Ocean Road hupona saratani

SERIKALI imesema kuwa asilimia 20 ya wagonjwa wa saratani, wanaofika mapema katika Taasisi ya Ocean Road, wanatibiwa na kupona.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Airtel watoa msaada Ocean Road

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Umoja wa Wanawake ujulikanao kama ‘Airtel Divas’ umetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwa ajili ya wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ocean Road wamenisusa, nahamia tiba za jadi’

Mgonjwa wa saratani ya titi aliyepewa dawa feki za mionzi katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) amejikuta katika wakati mgumu baada ya wahudumu wa hospitali hiyo ya Serikali kumtelekeza alipokwenda kupata tiba.

 

11 years ago

Habarileo

Mashine za Ocean Road kutengenezwa wiki hii

MAFUNDI na vifaa kutoka nchini Canada kwa ajili ya kutengeneza ya mashine mbili za mionzi zilizoharibika katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, watawasili nchini wakati wowote na matengenezo hayo yatagharimu Sh milioni 740.

 

9 years ago

GPL

WATUMIAJI INSTAGRAM WASAIDIA WAGONJWA OCEAN ROAD

Mmiliki wa Twaiba Classic Centre akitoa michango kwa baadhi ya wagonjwa.
Wana-Instagram wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Ocean Road. KIKUNDI cha watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram jijini Dar wanaounda umoja wa kusaidia wagonjwa katika hospitali kubwa jijini, wametoa msaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road ikiwa ni moja ya taratibu walizojipangia. Wana-Instagram hao wanaoongozwa na mmiliki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani