Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUMIAJI INSTAGRAM WASAIDIA WAGONJWA OCEAN ROAD

Mmiliki wa Twaiba Classic Centre akitoa michango kwa baadhi ya wagonjwa.
Wana-Instagram wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Ocean Road. KIKUNDI cha watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram jijini Dar wanaounda umoja wa kusaidia wagonjwa katika hospitali kubwa jijini, wametoa msaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road ikiwa ni moja ya taratibu walizojipangia. Wana-Instagram hao wanaoongozwa na mmiliki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ocean Road wahudumia wagonjwa hadi usiku wa manane

Uhaba wa vifaa tiba na ubovu wa mashine ya mionzi, umewafanya wahudumu wa afya katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road(ORCI) kutibu wagonjwa hadi usiku wa manane. gazeti hili limebaini.

 

9 years ago

Mtanzania

Wakala wa ununuzi wasaidia wagonjwa

ALLY BADI

WAKALA wa Ununuzi wa Serikali Mkoa wa Lindi, GPSA umekabidhi msaada wenye thamani ya Sh milioni moja kwa wagonjwa wa Hospitali ya Sokoine mkoani hapa.

Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo, Kaimu Meneja wa Wakala wa Ununuzi Mkoa wa Lindi, Mwakiselu Mwambange, alisema wametoa msaada wa kanga, sabauni za kuogea na kufulia kwa wagonjwa pamoja na makopo ya maziwa kwa ajili ya kusaidia wagonjwa.

Mwambange alisema kitendo hicho ni utamaduni wa wakala wa ununuzi kusaidia watu wenye...

 

10 years ago

Habarileo

Wawata Dar wasaidia wagonjwa mil 9.5/-

WANAWAKE Wakatoliki Tanzania (WAWATA), Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wametoa Sh milioni 9.5 kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Taasisi ya Saratani ya Ocean road.

 

9 years ago

Bongo5

Instagram sasa ina watumiaji (active) zaidi ya milioni 400

Mtandao wa Instagram unaomilikiwa na kampuni ya Facebook, sasa umefikisha watumiaji zaidi ya milioni 400 duniani. Watumiaji wapya wa Instagram milioni 100 wameongezeka katika kipindi cha miezi tisa iliyopita na kuizidi Twitter yenye watumiaji milioni 316 active kila mwezi. Kampuni ya utafiti ya eMarketer imekadiria kuwa mapato yatokanayo na matangazo kwenye Instagram yatafikia dola bilioni […]

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa Hospitali ya Ocean Road

Kashfa imeikumba Hospitali ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kutokana na tuhuma za mmoja wa wauguzi wake kumuuzia dawa ‘feki’ mgonjwa ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika taasisi hiyo ya Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Hali inatisha Ocean Road

Hali ni mbaya katika Hospitali ya saratani ya Ocean Road (ORCI), Dar es Salaam kutokana na uhaba mkubwa wa dawa.

 

9 years ago

Mwananchi

Panga la vigogo lahamia Ocean Road

Timuatimua ya watendaji wakuu wa mashirika na taasisi za umma imeendelea jana baada Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kumsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo.

 

9 years ago

Habarileo

Vigogo wa Ocean Road, DART wasimamishwa

MAWAZIRI wawili jana ‘walitumbua majipu’ baada ya kutangaza kusimamishwa kazi kwa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Asteria Mlambo na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo, wote wakipisha uchunguzi dhidi yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kansa ya kizazi yaongoza Ocean Road

IMEELEZWA kuwa kansa ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza  kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Mganga wa wagonjwa hao, Dk. Harison Chuwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani