Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ocean Road wahudumia wagonjwa hadi usiku wa manane

Uhaba wa vifaa tiba na ubovu wa mashine ya mionzi, umewafanya wahudumu wa afya katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road(ORCI) kutibu wagonjwa hadi usiku wa manane. gazeti hili limebaini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WATUMIAJI INSTAGRAM WASAIDIA WAGONJWA OCEAN ROAD

Mmiliki wa Twaiba Classic Centre akitoa michango kwa baadhi ya wagonjwa.
Wana-Instagram wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Ocean Road. KIKUNDI cha watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram jijini Dar wanaounda umoja wa kusaidia wagonjwa katika hospitali kubwa jijini, wametoa msaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road ikiwa ni moja ya taratibu walizojipangia. Wana-Instagram hao wanaoongozwa na mmiliki...

 

9 years ago

Michuzi

Kutoka Ocean Road hadi Muhimbili kuagwa sabuni za kuogea za kufulia, miswaki na dawa za meno kwa watoto wenye matatizo ya kansa waliolazwa hapo na wazazi .

wanafunzi waliosoma zamani shule za St Joseph's Convent School na Forodhani Secondary School (St Josephs and Forodhani ALUMNI) washerehekea tarehe12 December kwa kuwapelekea wagonjwa 360 wa kansa hospitali za Ocean Road na Muhimbili sabuni za kufulia na kuogea, miswaki na dawa za kusafishia meno. Mkuu wa msafara Collins Rutenge, amesema tarehe 9 Disemba walikuwa wakifanya usafi kila mmoja alipo.  Kama kukindi waliamua kupeleka vifaa vya usafi kwa wagonjwa wa kansa waliolazwa hospitali za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Makaburi alizikwa usiku wa manane

Mhubiri mwenye utata aliyeuawa na polisi mjini Mombasa, Kenya Jumanne usiku, Abubakar Shariff Makaburi alizikwa usiku

 

10 years ago

Bongo Movies

‘Filamu Zionyeshwe Usiku wa Manane’

Meneja msaidizi wa bidhaa za Zuku Tanzania, Venaranda Raphael, amezitaka kampuni zinazofanya shughuli za filamu nchni zizingatie maadili kwa kuonyesha filamu zao usiku ili zisiharibu taibia za watoto walio chini ya umri  wa miala 18.

Alisema filamu nyingi zina picha zisizofaa kwa  watoto hivyo zionyeshwe usiku wa manane ambapo inaaminika  kwamba muda huo idadi kubwa ya watoto huwa wamelala.

Naye memeja mkuu wa kampuni hiyo, Omari Zuberi, alisema kampuni hiyo imewekeza dola milioni moja kwa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kura zawasili usiku wa manane kinyume na ilivotarajiwa

Vifaa vya upigaji kura vikiwasili ofisi ya tume ya uchaguzi visiwani Zanzibar iliyopo Chake Chake Pemba chini ya ulinzi wa jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ) tarehe 17/10/2015 Mvutano umejitokea wapi vifaa hivyo vitahifadhiwa hadi sasa

The post Kura zawasili usiku wa manane kinyume na ilivotarajiwa appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Jiji lavunja vibanda usiku wa manane Mbeya

>Wafanyabiashara ndogondogo ‘Machinga’ wa jijini Mbeya jana  walijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kufika maeneo yao ya biashara na kukuta vibanda vyao vimevunjwa usiku.

 

11 years ago

GPL

LULU, YOUNG D WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI USIKU WA MANANE

Elizabeth Michael 'LULU'. Jana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha Clouds FM chini ya bwana Sudi Brown ama Gossip Cop kulikuwa na fununu kali iliyokuwa inamuhusu mwanadada wa bongomovies  na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Young D ' Young Dar es salaam' kama mwenyewe anavyojiita ya wawili hao kukutwa kwenye gari wakifanya lile tendo linaloruhusiwa kufanywa mara baada ya mdada na mkaka kufunga ndoa. ...

 

10 years ago

Habarileo

Aliyeuawa kwa 'ugaidi’ azikwa usiku wa manane

MTUHUMIWA wa matukio ya kigaidi na umwagiaji watu tindikali katika miji mbalimbali nchini ikiwa pamoja na Arusha, Yahaya Hassan Hela (31) maarufu kama Yahaya Sensei amezikwa usiku wa `manane’ kijijini kwao Chemchem, kata ya Suruke wilayani Kondoa, Dodoma.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KIKAO KWISHA USIKU WA MANANE HAYA NDIYO MAJINA YANAYOTAZAMIWA KUTANGAZWA KESHO.

Haya ndio matokeo yaliyowekwa @Twitter kuhusu Wagombea watano Urais wa CCM Dodoma live 
INASEMEKANA HAWA NDIYO WANAOPEWA NAFASI KUBWA YA KUINGIA KWENYE TANO BORA HABARI RASMI KUTOLEWA ASUBUHI.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani