Makaburi alizikwa usiku wa manane
Mhubiri mwenye utata aliyeuawa na polisi mjini Mombasa, Kenya Jumanne usiku, Abubakar Shariff Makaburi alizikwa usiku
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies30 Jun
‘Filamu Zionyeshwe Usiku wa Manane’
Meneja msaidizi wa bidhaa za Zuku Tanzania, Venaranda Raphael, amezitaka kampuni zinazofanya shughuli za filamu nchni zizingatie maadili kwa kuonyesha filamu zao usiku ili zisiharibu taibia za watoto walio chini ya umri wa miala 18.
Alisema filamu nyingi zina picha zisizofaa kwa watoto hivyo zionyeshwe usiku wa manane ambapo inaaminika kwamba muda huo idadi kubwa ya watoto huwa wamelala.
Naye memeja mkuu wa kampuni hiyo, Omari Zuberi, alisema kampuni hiyo imewekeza dola milioni moja kwa...
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Jiji lavunja vibanda usiku wa manane Mbeya
10 years ago
Mzalendo Zanzibar17 Oct
Kura zawasili usiku wa manane kinyume na ilivotarajiwa
Vifaa vya upigaji kura vikiwasili ofisi ya tume ya uchaguzi visiwani Zanzibar iliyopo Chake Chake Pemba chini ya ulinzi wa jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ) tarehe 17/10/2015 Mvutano umejitokea wapi vifaa hivyo vitahifadhiwa hadi sasa
The post Kura zawasili usiku wa manane kinyume na ilivotarajiwa appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi31 Oct
Ocean Road wahudumia wagonjwa hadi usiku wa manane
11 years ago
Habarileo23 Oct
Aliyeuawa kwa 'ugaidi’ azikwa usiku wa manane
MTUHUMIWA wa matukio ya kigaidi na umwagiaji watu tindikali katika miji mbalimbali nchini ikiwa pamoja na Arusha, Yahaya Hassan Hela (31) maarufu kama Yahaya Sensei amezikwa usiku wa `manane’ kijijini kwao Chemchem, kata ya Suruke wilayani Kondoa, Dodoma.
11 years ago
GPL
LULU, YOUNG D WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI USIKU WA MANANE
10 years ago
Vijimambo
BAADA YA KIKAO KWISHA USIKU WA MANANE HAYA NDIYO MAJINA YANAYOTAZAMIWA KUTANGAZWA KESHO.
INASEMEKANA HAWA NDIYO WANAOPEWA NAFASI KUBWA YA KUINGIA KWENYE TANO BORA HABARI RASMI KUTOLEWA ASUBUHI.

10 years ago
Vijimambo03 Feb
UNAAMBIWA MGANGA ANASWA LIVE GUEST NA WAKE ZA WATU USIKU WA MANANE...ETI ANAWAPA DAWA YA MAPENZI.

Kwa mujibu wa mashuhuda, jamaa huyo alidaiwa kuwa alikuwa akiwafanyia wake hao wa watu dawa ya mapenzi kwa kuwavua nguo zote kisha ‘kuwachezea’.

11 years ago
Michuzi21 Oct
TANZANIA KUANIKIZA MAFANIKIO YA Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) KWA MATAIFA manane

Na Mwandishi wetuMATAIFA manane yaliyopo katika nchi zinazoendelea zitaanikizwa mafanikio ya Tanzania katika utekelezaji wa programu ya Jitihada za Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) inayosimamiwa na ...