TANZANIA KUANIKIZA MAFANIKIO YA Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) KWA MATAIFA manane
Mkuu wa ushauri wa ufundi wa Mfuko wa Umoja wa mataifa wa Ukuzaji Mitaji (UNCDF), Peter Malika akizungumza na washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa miradi chini ya programu ya Jitihada za Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) unaosimamiwa na mfuko huo katika hoteli ya Serena mjini Dar es Salaam leo.
Na Mwandishi wetuMATAIFA manane yaliyopo katika nchi zinazoendelea zitaanikizwa mafanikio ya Tanzania katika utekelezaji wa programu ya Jitihada za Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) inayosimamiwa na ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Oct
Tanzania kuanikiza mafanikio ya LFI kwa mataifa 8
Mkuu wa ushauri wa ufundi wa Mfuko wa Umoja wa mataifa wa Ukuzaji Mitaji (UNCDF), Peter Malika akizungumza na washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa miradi chini ya programu ya Jitihada za Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) unaosimamiwa na mfuko huo katika hoteli ya Serena mjini Dar es Salaam leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu
MATAIFA manane yaliyopo katika nchi zinazoendelea zitaanikizwa mafanikio ya Tanzania katika utekelezaji wa programu ya Jitihada za Mahalia za...
10 years ago
MichuziTanzania kufaidika na Mfuko wa Programu ya Maendeleo ya Kimataifa ya LFI
11 years ago
MichuziTANGAZO KWA WAOMBAJI WA LESENI ZA UTAFUTAJI WA MADINI
9 years ago
StarTV11 Nov
Ushirikiano wa Tanzania na EU kwa miaka 40 yaleta mafanikio
Amani na ukomavu wa kidemokrasia tangu Tanzania ilipoanza kushiriki katika masuala mbalimbali ya maendeleo mwaka 1975 umeifanya nchi hii kuwa mfano wa kuigwa na mataifa mengine.
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania anayemaliza muda wake Filberto Sebregondi amesema katika kutimiza miaka 40 ya ushirikiano uliopo wanajivunia mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya afya, elimu, miundombinu na maendeleo ya jamii.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika kusheherekea mwaka wa Ulaya kwa...
10 years ago
Habarileo23 Oct
Aliyeuawa kwa 'ugaidi’ azikwa usiku wa manane
MTUHUMIWA wa matukio ya kigaidi na umwagiaji watu tindikali katika miji mbalimbali nchini ikiwa pamoja na Arusha, Yahaya Hassan Hela (31) maarufu kama Yahaya Sensei amezikwa usiku wa `manane’ kijijini kwao Chemchem, kata ya Suruke wilayani Kondoa, Dodoma.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Wizara ya Fedha yajivunia mafanikio BRN
MATOKEO Makubwa Sasa (BRN) ni mfumo unaotumiwa na serikali katika kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa baadhi ya majukumu yake yenye lengo la kupata matokeo chanya kwa muda mfupi. Mfumo huo...
5 years ago
MichuziBenki ya Absa Tanzania yadhamini Kili Marathon 2020 kwa mafanikio
10 years ago
Michuzi17 Dec
mapacha kutoka Tanzania walioungana watenganishwa kwa mafanikio nchini India
11 years ago
MichuziTANZANIA YASISITIZA NYONGEZA YA POSHO KWA WALINZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA