Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushirikiano wa Tanzania na EU kwa miaka 40 yaleta mafanikio

Amani na ukomavu wa kidemokrasia tangu Tanzania ilipoanza kushiriki katika masuala mbalimbali ya maendeleo mwaka 1975 umeifanya nchi hii kuwa mfano wa kuigwa na mataifa mengine.

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania anayemaliza muda wake Filberto Sebregondi amesema katika kutimiza miaka 40 ya ushirikiano uliopo wanajivunia mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya afya, elimu, miundombinu na maendeleo ya jamii.

Akizungumza jijini Dar es Salaam katika kusheherekea mwaka wa Ulaya kwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ushirikiano kwa wasanii nguzo ya mafanikio

“Narudi nyumba ooh” ni miongoni mwa nyimbo za marehemu Remy Ongala zilizotamba miaka ya 1980 na mpaka sasa wimbo huo bado unavuma.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NA VIETNAM WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Mizengo Pinda akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Tanzania na Vietnam. Katika hotuba yake Mhe. Pinda alilishukuru Taifa la Vietnam kupitia Ubalozi wake nchini kwa kuendelea kuimarisha ushirikiano  na Tanzania katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi, biashara na kidiplomasia. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Septemba 2015.Balozi wa Vietnam...

 

11 years ago

Michuzi

MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA NA USHIRIKIANO KATIKA UTUMISHI WA UMMA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) katikati akiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania kuhusu Mashirikiano katika Utumishi wa Umma katika miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, kulia ni Mh. James Mbatia, kushoto ni Mtangazaji wa TBC Shaban Kissu.

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA HUKO BEIJING

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Ndugu Li Yuanchao wakati walipokutana kwenye Sherehe ya kutimiza Miaka 50 ya Uhusiano wa Kidiplomasia baina ya Tanzania na China. Sherehe hizo zilizoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini China na kufanyika jijini Beijing leo
 Makamu wa Rais wa China Ndugu Li Yuanchao akigonganisha  glasi ikiwa ni ishara ya kusherehekea kutimiza miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China. Sherehe...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA NANE YA MAFANIKIO

 Afisa Mawasiliano wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Fausta Msokwa akiongea na waandishi wa habari  mapema leo asubuhi jijini Dar es Salaam juu ya maadhimisho ya miaka nane ya mafanikio ya TMF. Pembeni ni Mkurugenzi wa TMF, Ernest Sungura na Afisa Mafunzo wa TMF, Radhia Mwawanga. Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kutangaza tukio hilo, alisema Tarehe 22 Septemba, 2015 tutakuwa na tukio la...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aainisha mafanikio ya Serikali ya JK kwa miaka 10

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana aliwasilisha Bajeti ya lala salama ya ofisi yake na taasisi zake kwa mwaka 2015/16, huku akieleza mafanikio katika sekta mbalimbali yaliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Nne tangu ilipoingia madarakani mwaka 2005.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa vyombo vya Habari Tanzania (TMF) kuadhimisha miaka nane ya mafanikio

tmf wMkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kutangaza tukio hilo, ameeleza Tarehe 22 Septemba, 2015 tutakuwa na tukio la madhimisho ambayo yatajumuisha maonyesho kwa ajili ya waandishi wa habari waliowezeshwa na misaada ya TMF kuonyesha kazi zao na jinsi gani zimechangia kuleta uwajibikaji na pia kuonyesha kazi ambazo zimepandisha kiwango cha mijadala ya umma katika masuala husika hususani utawala bora na haki za...

 

11 years ago

Michuzi

Bayport Tanzania yaleta kicheko kwa watumishi wa umma

 Meneja Biashara wa Bayport Tanzania, Thabit Mndeme kushoto; na Meneja Masoko na Mawasiliano (katikati), Ngula Cheyo waki zinduwa Mkopo wa Bidhaa, Bayport Head office Daressalaam.=====  =====  ===== TAASISI ya kifedha ya Bayport Tanzania, leo imezindua huduma mpya ijulikanayo kama Mikopo ya Bidhaa ikiwa na lengo la kurahisha utendaji kazi wa watumishi wa umma na wafanyakazi wote wa kampuni zilizoidhinishwa na Bayport.
Uzinduzi huo uliofanyika jana, umeonyesha matumaini mapya ya Watanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YA UJENZI YAELEZEA MAFANIKIO YAKE KWA KIPINDI CHA MIAKA 10

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi, Segolena Francis (kulia), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akimkaribisha  Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Ven Ndyamkama (kushoto), kuzungumza na waandishi wa habari  kuhusu mafanikio ya serikali katika sekta ya ujenzi kwa kipindi cha  miaka 10 kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.

Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Ven Ndyamkama (kushoto), akizungumza katika mkutano na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani