Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA NA VIETNAM WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Mizengo Pinda akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Tanzania na Vietnam. Katika hotuba yake Mhe. Pinda alilishukuru Taifa la Vietnam kupitia Ubalozi wake nchini kwa kuendelea kuimarisha ushirikiano  na Tanzania katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi, biashara na kidiplomasia. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Septemba 2015.Balozi wa Vietnam...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA HUKO BEIJING

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Ndugu Li Yuanchao wakati walipokutana kwenye Sherehe ya kutimiza Miaka 50 ya Uhusiano wa Kidiplomasia baina ya Tanzania na China. Sherehe hizo zilizoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini China na kufanyika jijini Beijing leo
 Makamu wa Rais wa China Ndugu Li Yuanchao akigonganisha  glasi ikiwa ni ishara ya kusherehekea kutimiza miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China. Sherehe...

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) WASHEREHEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50 MUUNGANO WA TANZANIA

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu,Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akimpokea mgeni rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Tanzania, Mheshimiwa Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa UAE,katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Intercontinental,Abu Dhabi. Balozi Mbarouk akiwa na Chief of Protocol wa UAE Mhe. Shihab Al Faheem. Balozi Mbarouk akimuongoza Mgeni rasmi Mhe. Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa Umoja...

 

10 years ago

Vijimambo

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA WASHEREHEKEA MIAKA 51 YAMUUNGANO

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima akiwa na mkewe Mama Mkola Mlima pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi wakiwapokea wageni waalikwa kwenye maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ubalozi wa Tanzania nchini humo uliandaa sherehe fupi kuuenzi Muungano. Balozi Mlima akitoa hotuba fupi wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Balozi Mlima akikata keki kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar....

 

10 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA WASHEREHEKEA MIAKA 51 YA UHURU

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima akiwa  na mkewe Mama Mkola Mlima pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi wakiwapokea wageni waalikwa kwenye maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ubalozi wa Tanzania nchini humo uliandaa sherehe fupi kuuenzi Muungano.Balozi Mlima akitoa hotuba fupi wakati  wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na ZanzibarBalozi Mlima akikata keki kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar....

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA ADDIS ABABA WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz na Mwambata Jeshi Brig. Gen. Bishoge wakiwa wamesimama  kwa heshima wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa na kwaya ya Kamisheni ya Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa.  Aliyesimama kwenye podium ni Bw. Samwel Shelukindo, Afisa Mambo ya Nje Mkuu ambaye alikuwa MC katika sherehe hizo.   Mhe. Balozi Naimi Aziz akitoa hotuba katika sherehe hizo.  Mhe. Balozi Naimi Aziz akikata keki ya Miaka 50 na wageni waalikwa. Kutoka kushoto ni Balozi wa...

 

9 years ago

StarTV

Ushirikiano wa Tanzania na EU kwa miaka 40 yaleta mafanikio

Amani na ukomavu wa kidemokrasia tangu Tanzania ilipoanza kushiriki katika masuala mbalimbali ya maendeleo mwaka 1975 umeifanya nchi hii kuwa mfano wa kuigwa na mataifa mengine.

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania anayemaliza muda wake Filberto Sebregondi amesema katika kutimiza miaka 40 ya ushirikiano uliopo wanajivunia mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya afya, elimu, miundombinu na maendeleo ya jamii.

Akizungumza jijini Dar es Salaam katika kusheherekea mwaka wa Ulaya kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani