Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YASISITIZA NYONGEZA YA POSHO KWA WALINZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA

Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza mwanzoni mwa Mkutano wa Mwezi mmoja wa Wajumbe wa Kamati Maalum ya Usimamizi wa Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa, (C-34). Katika baadhi ya mambo aliyosititiza ni pamoja na kuangaliwa upya kwa posho ya kila siku wanayolipwa walinzi wa amani ambayo ni dola 1.28, posho ambayo imedumu kwa miaka 20 bila ya kufanyiwa mabadiliko. Mkutano huo unafanyika ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAONGEZA POSHO YA WALINZI WA AMANI

Na Mwandishi Maalum, New York Baada ya vuta ni kuvute ya muda mrefu na majadiliano makali baina ya nchi zinazotoa walinzi wa Amani ( TCC) na zile zinazochangia raslimali fedha, hatimaye siku ya alhamisi ( Julai 3, 2014) Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, lilipitisha nyongeza ya posho kwa walinzi wa amani kutoka posho ya sasa ya dola za kimarekani 1, 028 kwa mwezi hadi dola za kimarekani 1,410 kwa mwezi. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, lilipitisha nyongeza hiyo baada ya Kamati ya Tano...

 

11 years ago

Michuzi

TUTENDELEA KUSHIRIKANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI-TANZANIA

Na Mwandishi Maalum Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeihakikishia Jumuiya ya Kimataifa kwamba itaendelea kushirikiana na Umoja wa Mataifa na Jumuiya za Kikanda katika jitihada za urejeshwaji na uimarishaji wa mazingira ya amani na usalama katika nchi zenye migogoro.   Kauli hiyo imetolewa na Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi, Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja iliyoandaliwa...

 

11 years ago

GPL

TUTANDELEA KUSHIRIKANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI - TANZANIA

Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza wakati wa  ufunguzi wa semina ya siku moja kuhusu ujumuishwaji katika mchakato wa  uboreshaji wa  taasisi za usalama (SSR), semina hiyo ya siku moja  ilifanyika siku ya jumanne katika  Uwakilishi wa Kudumu wa  Japan katika Umoja wa Mataifa na iliandaliwa kwa ubia kati ya Japan, Tanzania na...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya walinda Amani ya Umoja wa Mataifa yafanyika Dar

Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi akihotubia katika maadhimisho ya siku ya walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mabalozi wakimsikiliza Waziri Mwinyi (hayupo pichani). Dkt. Mwinyi akiweka Shada katika mnara wa Mashujaa kuashiria kuwakumbuka walindaamani waliopoteza maisha duniani kote. Mabalozi mbalimbali wanao ziwakilisha Nchi zao hapa nchin nao walihudhuria maadhimisho hayo Waziri waulinzi Dkt. Mwinyi akiagana na mabalozi...

 

10 years ago

Vijimambo

UMOJA WA MATAIFA WA WAENZI WALINDA WA AMANI WALIOPOTEZA MAISHA 2014

 Maura Mwingira, Charge d' affaires a.i wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akipokea kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa ( DPKO ) Bw. Harves Ladsous, Medali Maalum ya Dag Hammarskjold ambazo wametunukiwa Mashujaa wanne walinda Amani kutoka JWTZ ambao walipoteza maisha mwaka 2014 wakati wakitekeleza majukumu yao. Umoja wa Mataifa umeitenga Mei 29 kama siku ya Kimataifa ya kuwakumbuka na kuwaenzi walinda amani ...

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha nyongeza ya posho

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Nyongeza ya posho yagonga mwamba

>Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba, Mwananchi limebaini.

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YATAKA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA KUTEKELEZA KWA VITENDO DHANA YA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi ( picha ya Maktaba) ametoa wito kwa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Ofisi zake kutekeleza kwa vitendo dhana ya uwazi na uwajibikani kama yanavyozishikiza Nchi Wanachama, kwa kile alichosema, utekelezaji wa dhana hiyo haupashwi kuwa jukumu la Serikali peke yake. Ametoa wito huo wakati wa majadiliano ya Ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu iliyowasilishwa siku ya jumatatu mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA ULAYA (EU) YATOA EURO 200,000 KWA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI TANZANIA

Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU), nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi akifafanua jambo wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa kuyapatia Mashirika ya Umoja wa Mataifa Euro 200,000. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Uhusiano wa EU, Eric Beaume. (Picha na Francis Dande) Balozi wa Jumuiya ya  Ulaya (EU), nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi (kulia) akibadilishana hati na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez wakati wa hafla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani