Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yakanusha nyongeza ya posho

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nyongeza ya posho yagonga mwamba

>Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba, Mwananchi limebaini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtatiro akusanya saini kupinga nyongeza ya posho

Mjadala wa nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, sasa umechukua sura mpya baada ya mmoja wa wajumbe hao, Julius Mtatiro kuanza kukusanya saini za wajumbe wote wanaopinga nyongeza hiyo na kumwandikia barua Rais Jakaya Kikwete, kumuomba asiongeze kiasi chochote cha fedha.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YASISITIZA NYONGEZA YA POSHO KWA WALINZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA

Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza mwanzoni mwa Mkutano wa Mwezi mmoja wa Wajumbe wa Kamati Maalum ya Usimamizi wa Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa, (C-34). Katika baadhi ya mambo aliyosititiza ni pamoja na kuangaliwa upya kwa posho ya kila siku wanayolipwa walinzi wa amani ambayo ni dola 1.28, posho ambayo imedumu kwa miaka 20 bila ya kufanyiwa mabadiliko. Mkutano huo unafanyika ...

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha habari za magazeti

SERIKALI imekanusha taarifa zilizoandikwa katika baadhi ya magazeti ya jana yakiwemo gazeti la Uhuru na Tanzania Daima. Habari hizo ni ile ya gazeti la Uhuru inayosomeka: “Bila kupitia JKT hakuna ajira serikalini” na iliyoandikwa na Mtanzania Daima yenye kichwa cha habari “Ikulu:Rushwa ya ngono imekithiri serikalini”

 

10 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha JK kuhojiwa na Obama

MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu amekanusha madai yaliyotangazwa hivi karibuni kwamba, Rais Jakaya Kikwete amehojiwa na Rais wa Marekani, Barack Obama, kuhusu fedha za kampuni ya kufua umeme ya IPTL.

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yaanika posho Tume ya Warioba

TUME ya Mabadiliko ya Katiba haikufukuzwa kazi, isipokuwa siku ya ukomo iliwekwa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. Ikulu imesisitiza kuwa haikuwa na madaraka wala mamlaka, kuibadilisha. Aidha, Ikulu imeanika viwango vya posho, ambavyo wajumbe wa tume hiyo walikuwa wakilipwa vya kati ya Sh 100,000 na Sh 500,000 kwa siku.

 

10 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha Katibu wa Rais kuingilia Escrow

VYOMBO vya habari nchini vimeaswa kuripoti matukio yaliyofanyiwa uchunguzi wa kina na yenye kufuata maadili na taaluma ya habari, badala ya kufanya kazi kwa kuongozwa na ushabiki vinapotekeleza majukumu yake.

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha Rais Kikwete kumtembelea Maranda

Rais Jakaya KikweteKURUGENZI ya Mawasiliano Ikulu imekanusha taarifa kwamba Rais Jakaya Kikwete, alimtembelea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mfungwa, Rajab Maranda anayetumikia kifungo cha miaka 18 gerezani kwa wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

GPL

IKULU YAKANUSHA RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete . Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imekanusha taarifa iliyoandikwa mitandaoni na magazetini kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo atalihutubia taifa. Taarifa sahii ni kwamba Rais atalihutubia taifa siku ya Jumatatu, Desemba 22 mwaka huu muda…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani