Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yakanusha JK kuhojiwa na Obama

MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu amekanusha madai yaliyotangazwa hivi karibuni kwamba, Rais Jakaya Kikwete amehojiwa na Rais wa Marekani, Barack Obama, kuhusu fedha za kampuni ya kufua umeme ya IPTL.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha habari za magazeti

SERIKALI imekanusha taarifa zilizoandikwa katika baadhi ya magazeti ya jana yakiwemo gazeti la Uhuru na Tanzania Daima. Habari hizo ni ile ya gazeti la Uhuru inayosomeka: “Bila kupitia JKT hakuna ajira serikalini” na iliyoandikwa na Mtanzania Daima yenye kichwa cha habari “Ikulu:Rushwa ya ngono imekithiri serikalini”

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha nyongeza ya posho

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha Rais Kikwete kumtembelea Maranda

Rais Jakaya KikweteKURUGENZI ya Mawasiliano Ikulu imekanusha taarifa kwamba Rais Jakaya Kikwete, alimtembelea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mfungwa, Rajab Maranda anayetumikia kifungo cha miaka 18 gerezani kwa wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha Katibu wa Rais kuingilia Escrow

VYOMBO vya habari nchini vimeaswa kuripoti matukio yaliyofanyiwa uchunguzi wa kina na yenye kufuata maadili na taaluma ya habari, badala ya kufanya kazi kwa kuongozwa na ushabiki vinapotekeleza majukumu yake.

 

10 years ago

GPL

IKULU YAKANUSHA RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete . Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imekanusha taarifa iliyoandikwa mitandaoni na magazetini kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo atalihutubia taifa. Taarifa sahii ni kwamba Rais atalihutubia taifa siku ya Jumatatu, Desemba 22 mwaka huu muda…

 

10 years ago

Michuzi

IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu yakanusha Rais kulipwa Dola 16,000 kwa mwezi

>Siku moja baada ya tovuti ya Mwananchi kunukuu habari zilizoripotiwa na Mtandao wa African Review, kuhusu mishahara ya marais wa Afrika na kwingineko duniani, Ikulu imekanusha habari hizo ikisema si za kweli.

 

9 years ago

Michuzi

CCM YAKANUSHA TAARIFA ZA MITANDAONI KWAMBA IMEKUBALI KUMKABIDHI MAALIM SEIF IKULU

Chama cha Mapinduzi CCM kimekanusha Taarifa iliyozagaa katika Mitandao ya Kijamii kwamba Chama hicho kimeridhia aliyekuwa Mgombea wa Urais wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akabidhie nchi kuiongoza kwa miaka mitano. 
Akikanusha Taarifa hiyo mbele ya Waandishi wa Habari Afisini kwake Kisiwandui Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai amesema taarifa hiyo ni uzushi uliotungwa ili kuwatia taharuki WanaCCM na Wananchi kwa Ujumla. 
Amesema toka kusambaa kwa Taarifa hiyo Jana amekuwa akipigiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani