Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yakanusha Rais Kikwete kumtembelea Maranda

Rais Jakaya KikweteKURUGENZI ya Mawasiliano Ikulu imekanusha taarifa kwamba Rais Jakaya Kikwete, alimtembelea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mfungwa, Rajab Maranda anayetumikia kifungo cha miaka 18 gerezani kwa wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUST IN: IKULU YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KUMTEMBELEA MFUNGWA MARANDA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).


 

10 years ago

GPL

IKULU YAKANUSHA RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete . Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imekanusha taarifa iliyoandikwa mitandaoni na magazetini kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo atalihutubia taifa. Taarifa sahii ni kwamba Rais atalihutubia taifa siku ya Jumatatu, Desemba 22 mwaka huu muda…

 

10 years ago

Dewji Blog

IKULU yakanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi inayodai “Rais Kikwete analipwa Dola za Marekani 192,000 kwa mwaka”

Untitled

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa”.

Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni “uchambuzi wa mtandao wa African Review” inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, anashilikia nafasi ya tano miongoni mwa viongozi 38 wa nchi za Afrika wanaolipwa mshahara...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete hakumtembelea Maranda MOI

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa Rais Jakaya Kikwete aliwatembea wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha Katibu wa Rais kuingilia Escrow

VYOMBO vya habari nchini vimeaswa kuripoti matukio yaliyofanyiwa uchunguzi wa kina na yenye kufuata maadili na taaluma ya habari, badala ya kufanya kazi kwa kuongozwa na ushabiki vinapotekeleza majukumu yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu yakanusha Rais kulipwa Dola 16,000 kwa mwezi

>Siku moja baada ya tovuti ya Mwananchi kunukuu habari zilizoripotiwa na Mtandao wa African Review, kuhusu mishahara ya marais wa Afrika na kwingineko duniani, Ikulu imekanusha habari hizo ikisema si za kweli.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na mjumbe wa Rais wa Burundi Ikulu jijini Dar

ru1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe wake kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam April 29, 2014.

ru2

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Sheikh Mohamed Rukara, ujumbe  maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, aliyeuwasilisha  ujumbe huo Ikulu jijini Dar.

ru3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Rais Kikwete ampokea rasmi Rais Gauck-Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea rasmi Rais wa Ujerumani, Mhe. Joachim Gauck katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete akiwa ameongozana na mgeni wake Rais Gauck mara baada ya kumpokea. Rais Kikwete na Rais Gauck wakipata heshima ya nyimbo za mataifa yao ikiwa ni sehemu ya mapokezi ya Rais Gauck. Kikosi cha jeshi kikipiga mizinga 21 kwa heshima ya Rais Gauck Rais Gauck akikagua Gwaride la Heshima Sehemu ya waandishi wa Habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani