JUST IN: IKULU YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KUMTEMBELEA MFUNGWA MARANDA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
![](http://1.bp.blogspot.com/-ftf-j8HwaDs/UxyK5qv7L0I/AAAAAAAFSYU/lnM7Z5m8O4E/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
![](http://1.bp.blogspot.com/-u0OqZkbawWA/UxyK5tWr60I/AAAAAAAFSYQ/RmmSYWG-e88/s1600/unnamed+(9).jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Mar
Ikulu yakanusha Rais Kikwete kumtembelea Maranda
KURUGENZI ya Mawasiliano Ikulu imekanusha taarifa kwamba Rais Jakaya Kikwete, alimtembelea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mfungwa, Rajab Maranda anayetumikia kifungo cha miaka 18 gerezani kwa wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
IKULU yakanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi inayodai “Rais Kikwete analipwa Dola za Marekani 192,000 kwa mwaka”
Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa”.
Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni “uchambuzi wa mtandao wa African Review” inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, anashilikia nafasi ya tano miongoni mwa viongozi 38 wa nchi za Afrika wanaolipwa mshahara...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9xAlpFp3Efo/VbZYdwAVN9I/AAAAAAAHsG4/rTIJqk6XZGs/s72-c/index.jpg)
IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
![](http://1.bp.blogspot.com/-9xAlpFp3Efo/VbZYdwAVN9I/AAAAAAAHsG4/rTIJqk6XZGs/s200/index.jpg)
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfaIq7WcCi7ilkK2psDnts5etpZ2rkYylO4CqSvlb9EL95j0FZt1lbl-rd-natKVfMjjZjR*7MZXDAuD*t-5*G7Q/jk_taifa.jpg?width=650)
IKULU YAKANUSHA RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO
9 years ago
MichuziHabari njema: Michango ya wasamaria wema yafanikisha Dada Joyce wa Mbeya kuwasili Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu
Tunapenda kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambalo dereva wake hakusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya ambako inasemekana alikaa kwa miezi mitatu bila...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-N66x89Pqpx0/Uwown3kqKxI/AAAAAAAFPKA/Vw34TxVVi8c/s72-c/p6.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
Rais Kikwete azindua rasmi kituo cha magonjwa ya Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi jana April 27, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya...
9 years ago
MichuziMSD YAKARABATI JENGO LA DUKA LA DAWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA KASI KUBWA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS DK.MAGUFULI
BOHARI ya Dawa (MSD) imejiimarisha na kuhahikisha inatekeleza kwa wakati agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuweka maduka ya dawa katika hospitali za rufaa na kanda nchini.
Katika kutekeleza agizo hilo MSD imeanza kwa kasi kubwa ya kukarabati jengo la duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambalo linatarajiwa kufunguliwa kesho.
Mwandishi wa habari hii alishuhudia jana kasi kubwa ya mafundi ujenzi wakikarabati jengo hilo ambalo awali lilikuwa...