Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IKULU yakanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi inayodai “Rais Kikwete analipwa Dola za Marekani 192,000 kwa mwaka”

Untitled

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa”.

Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni “uchambuzi wa mtandao wa African Review” inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, anashilikia nafasi ya tano miongoni mwa viongozi 38 wa nchi za Afrika wanaolipwa mshahara...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu yakanusha Rais kulipwa Dola 16,000 kwa mwezi

>Siku moja baada ya tovuti ya Mwananchi kunukuu habari zilizoripotiwa na Mtandao wa African Review, kuhusu mishahara ya marais wa Afrika na kwingineko duniani, Ikulu imekanusha habari hizo ikisema si za kweli.

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: IKULU YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KUMTEMBELEA MFUNGWA MARANDA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).


 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha Rais Kikwete kumtembelea Maranda

Rais Jakaya KikweteKURUGENZI ya Mawasiliano Ikulu imekanusha taarifa kwamba Rais Jakaya Kikwete, alimtembelea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mfungwa, Rajab Maranda anayetumikia kifungo cha miaka 18 gerezani kwa wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

GPL

IKULU YAKANUSHA RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete . Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imekanusha taarifa iliyoandikwa mitandaoni na magazetini kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo atalihutubia taifa. Taarifa sahii ni kwamba Rais atalihutubia taifa siku ya Jumatatu, Desemba 22 mwaka huu muda…

 

10 years ago

Dewji Blog

WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami na Ebola

1

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam jana,  kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLA‏

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam leo, kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani