Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YAKANUSHA TAARIFA ZA MITANDAONI KWAMBA IMEKUBALI KUMKABIDHI MAALIM SEIF IKULU

Chama cha Mapinduzi CCM kimekanusha Taarifa iliyozagaa katika Mitandao ya Kijamii kwamba Chama hicho kimeridhia aliyekuwa Mgombea wa Urais wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akabidhie nchi kuiongoza kwa miaka mitano. 
Akikanusha Taarifa hiyo mbele ya Waandishi wa Habari Afisini kwake Kisiwandui Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai amesema taarifa hiyo ni uzushi uliotungwa ili kuwatia taharuki WanaCCM na Wananchi kwa Ujumla. 
Amesema toka kusambaa kwa Taarifa hiyo Jana amekuwa akipigiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM yakanusha taarifa za kuridhia kuapishwa kwa Seif

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekanusha taarifa iliyosambazwa kupitia mitandao ya kijamii ya kuridhia Mgombea wa Chama Cha (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad atangazwe kuwa Rais wa Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...

 

9 years ago

Habarileo

Shein, Maalim Seif wateta Ikulu

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekutana katika Ikulu ya Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mkuu uliofutwa.

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif,  leo Ikulu jijini Dar.

Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli, (katikati) na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu wakiwa katika picha ya pamoja.
Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli wakiongea na wanahabari.  Seif Sharif akiagana na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU JIJINI DAR

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo. (Picha na Freddy Maro /… ...

 

9 years ago

Habarileo

CCM Zanzibar yakanusha kuridhia Seif kuapishwa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimekanusha taarifa zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii kwamba kimeridhia mgombea urais kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuapishwa na kukabidhiwa nchi.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Maalim Seif Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (picha na Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani