TLS YAKANUSHA TAARIFA YA BARUA INAYOSAMBAZWA MITANDAONI
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziCCM YAKANUSHA TAARIFA ZA MITANDAONI KWAMBA IMEKUBALI KUMKABIDHI MAALIM SEIF IKULU
Chama cha Mapinduzi CCM kimekanusha Taarifa iliyozagaa katika Mitandao ya Kijamii kwamba Chama hicho kimeridhia aliyekuwa Mgombea wa Urais wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akabidhie nchi kuiongoza kwa miaka mitano.
Akikanusha Taarifa hiyo mbele ya Waandishi wa Habari Afisini kwake Kisiwandui Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai amesema taarifa hiyo ni uzushi uliotungwa ili kuwatia taharuki WanaCCM na Wananchi kwa Ujumla.
Amesema toka kusambaa kwa Taarifa hiyo Jana amekuwa akipigiwa...

MichuziJESHI LAWASAKA WALIOENEZA TAARIFA ZA UZUSHI MITANDAONI
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi.
Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari ‘chujio Jesho la polisi, vyeti feki vyawaonndoa askari kazini’ Taarifa hiyo ni uzushi na hajatolewa na...

5 years ago
MichuziWANANCHI WASHAURIWA KUJIEPUSHA NA USAMBAZAJI TAARIFA ZA UPOTOSHAJI MITANDAONI
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Kondoa Community Network (KCN), Antony Diallo akiongea wakati akifungua mafunzo yaliyoandaliwa na taasisi ya Kondoa Community Network (KCN) ya kuelimisha matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa vikundi mbalimbali vya kujiletea maendeleo yaliyofanyika hivi karibuni Wilayani Kondoa, Dodoma.Mwenyekiti wa...
11 years ago
MichuziMajibu ya Mh.Jerry Silaa kuhusiana na taarifa zinazosambazwa mitandaoni
Nimepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni ikidaiwa ni mawasiliano baina yangu na Ridhiwani Kikwete, Mjumbe wa NEC na Mbunge mteule wa Jimbo la Chalinze.
Ingawa si tabia yangu kukanusha mambo yaliyotengenezwa kwa sababu anazojua muandaaji lakini kwa idadi ya simu nilizopokea kwa faida ya wengi ni bora niseme yafuatayo.
1.Kwa wanaofahamu matumizi ya whatsapp, screen shot hii ilipaswa kutoka kwenye simu yangu, kwa maana nyingine ni mimi mwenyewe ndiye chanzo cha...

YkileoKUNAHITAJIKA UWEPO WA UMAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI
Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni leo najikita katika maswala ya USIRI “PRIVACY” ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni napia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.
Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama “RECONNAISSANCE” ambapo mara...

Mwananchi30 Nov
CCM yakanusha taarifa za kuridhia kuapishwa kwa Seif
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekanusha taarifa iliyosambazwa kupitia mitandao ya kijamii ya kuridhia Mgombea wa Chama Cha (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad atangazwe kuwa Rais wa Zanzibar.
10 years ago
MichuziIKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...
11 years ago
MichuziSOMO LA BURE LA LEO: KUWA MAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI
Na ticha Yusuph Kileo.
Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni, leo najikita katika maswala ya USIRI (PRIVACY) ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni na pia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.
Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama...
9 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania