Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNAHITAJIKA UWEPO WA UMAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI

Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni leo najikita katika maswala ya USIRI “PRIVACY” ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni napia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.



Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama “RECONNAISSANCE” ambapo mara...





Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SOMO LA BURE LA LEO: KUWA MAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI

Na ticha Yusuph Kileo. Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni, leo najikita katika maswala ya USIRI  (PRIVACY)  ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni na pia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.  Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama...

 

11 years ago

Habarileo

Mhadhiri ataka umakini sekta binafsi kuboresha elimu

IMEELEZWA kuwa ni hatari uwekezaji kwenye elimu nchini kufanywa na watu wasio na elimu ili mradi awe na pesa za majengo na vifaa mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

HOJA BINAFSI: Mabloga zingatieni maadili kuheshimu picha za marehemu mitandaoni

>Raha ya kipindi tunachoishi sasa  ni wepesi wa mawasiliano. Mawasiliano ya haraka kwa simu za mkononi, habari kusambaa, mitandao kutupasha yaliyotokea, ghafla bin vuu. Hakuna  linalofanyika hadharani likapita, vuum,  siku hizi. Iwe umbea au udaku; serikali, mazuri au kashfa, gharika au tufani; ili mradi...Buum! Hiyo hapo machoni.

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LAWASAKA WALIOENEZA TAARIFA ZA UZUSHI MITANDAONI

Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo  katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi. 
Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari  ‘chujio Jesho la polisi, vyeti feki vyawaonndoa askari kazini’  Taarifa hiyo ni uzushi na hajatolewa na...

 

9 years ago

Mwananchi

Umakini katika Uandishi

Siku za hivi karibuni nilipata fursa ya kusoma habari zilizoandikwa katika gazeti moja la Kiswahili kwa umakini mkubwa kwani ilikuwa siku ya Jumapili   ambayo ni siku ya mapumziko.  Zilikuwapo kurasa mbili zilizokuwa na makosa mengi ya kizembe.  Nimesema ni makosa ya kizembe kwa kuwa waandishi na hata wahariri hawakufanya kazi zao ipasavyo. Hawakujali kutimiza wajibu wao. Ilipasa wahariri wasome makala zilizoandikwa na waandishi ili kurekebisha makosa yaliyo dhahiri ni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani