Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SOMO LA BURE LA LEO: KUWA MAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI

Na ticha Yusuph Kileo. Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni, leo najikita katika maswala ya USIRI  (PRIVACY)  ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni na pia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.  Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

KUNAHITAJIKA UWEPO WA UMAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI

Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni leo najikita katika maswala ya USIRI “PRIVACY” ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni napia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.



Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama “RECONNAISSANCE” ambapo mara...

 

10 years ago

Mtanzania

Jokate kutoa somo kwa wasanii leo

JokateNA THERESIA GASPER

MREMBO na mwanamitindo maarufu nchini, Jokate Mwegelo, leo atatoa somo kwa wasanii na wadau wa sanaa katika kongamano la Jukwaa la Sanaa litakalofanyika kwenye ukumbi wa Basata jijini Dar es Salaam.

Ofisa Habari wa Basata, Aristides Kwizela, alisema Jokate pamoja na mbunifu mashuhuri wa mitindo ya mavazi nchini, Asia Idarous, watatoa mada katika jukwaa hilo na watazungumzia namna ya kutumia umaarufu na vipaji vyao kukuza kipato.

“Jukwaa hili litawataka wasanii na wadu wa...

 

10 years ago

GPL

KUWA MAKINI KATIKA KUWASHAURI WAPENZI

NAKUKARIBISHA katika Jumanne tuliyoiona kwa kudra za Mwenyezi Mungu kwa kutupa pumzi na uhai wake bure.Leo tutazungumzia kuhusu suala zima la kuwa makini katika kuwashauri wapenzi waliofarakana. Kama unataka kuwashauri watu walio na malumbano katika uhusiano wa mapenzi basi kwanza washauri kwa kuutenga ukweli na uongo bila kuegemea upande mmoja. Pili kuwa makini kuuponda upande mmoja ambao haupo karibu yako wakati ukimshauri...

 

11 years ago

GPL

REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA‏

Mwezeshaji wa warsha hiyo ambaye pia ni Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco, Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa utambulisho kwa waendesha warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kutoka Shirika la Search for Common Grounds (SFCG), yanayoendelea mjini Dodoma. Meneja Mradi wa SFCG wilaya ya Tarime, Bwana Jacob Mulikuza, akielezea maudhui ya warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kwa washiriki ambao ni waandishi...

 

5 years ago

Michuzi

ACHENI KUTOA TAARIFA AMBAZO SIO SAHIHI, TUENDELEENI KUWA WAZALENDO

Na  Ahmed Mahmoud ArushaWIZA ya maliasili na Utalii Imejipanga kuhuisha sekta ya Utalii nchini kwa kushirikiana na wadau wa Utalii baada ya watalii kuonyesha nia ya kuja nchini kuanzia mwezi ujao.
Suala hilo limekuja wakati dunia ilipojipata kwenye kisa cha Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu Covid 19 Unaosababishwa na virusi vya Corona na kuzifanya nchi nyingi dunia kufunga mipaka yao kudhibiti janga hilohuku Watalii wengi wakisitisha safari zao za kuja nchini.
Kwa Muktadha huo kwa siku za...

 

9 years ago

Mwananchi

Huduma unazoweza kupata bure mitandaoni-1

Mapinduzi ya teknolojia yamebadilisha mambo mengi. Yamebadili mwenendo wa maisha, utendaji wa kazi, shughuli za kijamii, siasa, uchumi na hata elimu.

 

9 years ago

StarTV

  Wataalam wa ardhi watakiwa kuwa makini katika upimaji ili Kuepuka Migogoro

 

Wataalam wa ardhi katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya wametakiwa kuwa makini wakati wa utekelezaji wa kazi ya upimaji wa viwanja vya makazi na mji wa halmashauri hiyo ili kuepuka migogoro ya ardhi isiyo ya lazima na wananchi.

Tahadhari hiyo imetolewa na Kamishna wa Ardhi kanda ya kaskazini Suma Tumpale kutokana nia taarifa ya wataalamu wa Ardhi wa Halmashauri hiyo kueleza kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wananchi wanaopinga uendeshwaji wa zoezi hilo katika maeneo yao.

 Halmashauri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani