Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huduma unazoweza kupata bure mitandaoni-1

Mapinduzi ya teknolojia yamebadilisha mambo mengi. Yamebadili mwenendo wa maisha, utendaji wa kazi, shughuli za kijamii, siasa, uchumi na hata elimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA MKURANGA NA KIBAHA KUPATA HUDUMA ZA MACHO BURE

Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya (kushoto)akikabidhiwa msaada wa vifaa vya macho na Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya wilaya ya mkuranga mkoa wa Pwani, wanao shuhudia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi, Mratibu mradi Rebecca Kasika...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA MKURANGA NA KIBAHA KUPATA HUDUMA ZA MACHO BURE‏

Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya  Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati  alipofika katika  hospitali ya Wilaya ya Mkuranga  kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za  Mkuranga  ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.Kulia ni  Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

SOMO LA BURE LA LEO: KUWA MAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI

Na ticha Yusuph Kileo. Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni, leo najikita katika maswala ya USIRI  (PRIVACY)  ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni na pia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.  Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wateja Gapco kupata mafuta bure

KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za mafuta nchini, Gapco imezindua programu aminifu kuwezesha wamiliki wa magari kujipatia pointi wanunuapo mafuta ambazo zitawawezesha kupata mafuta bure kama faida. Mpango huo utawanufaisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yawawezesha walimu manispaa ya Morogoro kupata mawasiliano bure

Cecile& Luoga

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano (katikati) akimkabidhi simu aina ya Smartphone Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Bungo Manispaa ya Morogoro Roman Luoga (kulia),  ikiwa ni mpango wa kampuni ya Tigo kuwawezesha walimu kuweza kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe bila gharama yoyote. Jumla ya simu 50 za Smartphone zilitolewa kwa majaribio kwa walimu shule hiyo kwa kutekeleza mpango huo, Kushoto anayeshuhudia ni meneja wa Tigo Kanda ya Mashariki Goodluck Charles.

Picha Pamoja1

Baadhi ya walimu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

NHIF kutoa huduma za upimaji bure nchini

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeanza mkakati wa kupima afya za Watanzania bila malipo nchini nzima.

 

10 years ago

Vijimambo

Lamudi Tanzania kutangaza huduma za madalali bure

Meneja Huduma kwa Wateja wa Lamudi Tanzania, Godwin Lemma akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam. Meneja Huduma kwa Wateja wa Lamudi Tanzania, Godwin Lemma akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam.[/caption] KAMPUNI ya Lamudi Tanzania, imetambulisha huduma yake ya kuwawezesha madalali mbalimbali wanaofanya kazi ya kuwatafutia nyumba, viwanja na magari wateja wao ili kuweza kutangaza huduma wanazotoa. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo jijini Dar es Salaam, Meneja Huduma kwa Wateja wa Lamudi Tanzania, Godwin Lemma amesema kwa sasa madalali...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Umati kutoa huduma za upimaji saratani bure

CHAMA cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (Umati) kimewashauri wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya upimaji wa maradhi.

Miongoni mwa maradhi hayo ni ya ukosefu wa kinga mwilini (Ukimwi), saratani ya shingo ya kizazi na huduma za uzazi wa mpango katika banda la Umati kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF).

Ushauri huo umetolewa na Ofisa Habari wa Umati, Josephine Mugishagwe, aliyesema huduma za upimaji wa afya bure zinatolewa, hivyo ni vyema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani