Lamudi Tanzania kutangaza huduma za madalali bure
Meneja Huduma kwa Wateja wa Lamudi Tanzania, Godwin Lemma akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam.[/caption] KAMPUNI ya Lamudi Tanzania, imetambulisha huduma yake ya kuwawezesha madalali mbalimbali wanaofanya kazi ya kuwatafutia nyumba, viwanja na magari wateja wao ili kuweza kutangaza huduma wanazotoa. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo jijini Dar es Salaam, Meneja Huduma kwa Wateja wa Lamudi Tanzania, Godwin Lemma amesema kwa sasa madalali...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Mar
Madaktari Kutoa huduma bure kwa watoto Tanzania.
![](http://sacobserver.com/wp-content/uploads/2014/01/black-mother-child-healthcare-doctor.jpg)
10 years ago
Vijimambo04 Dec
Vijana Kuongezeka Katika Biashara ya Mali Zisizohamishika-Lamudi Tanzania
![Timu ya Lamudi Tanzania.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/Timu-ya-Lamudi-Tanzania..jpg)
BIASHARA ya ununuzi na ukodishaji wa nyumba inashamiri kwa haraka na biashara hii inatumiwa na vijana wengi katika sekta ya uwekezaji hasa miaka ya karibuni. Kwa sasa imefikia asilimia 59.37 ya vijana wenye umri kati ya 25-34, ambao wanajihusisha na shughuli hii, kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na Lamudi, Inaonyesha kuwa watu wengi zaidi wanania ya kuanza biashara hii wakiwa bado vijana. Utafiti huo, unaonyesha kuwa ukilinganisha vijana wenye umri kuanzia...
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/Timu-ya-Lamudi-Tanzania..jpg?width=640)
VIJANA KUONGEZEKA KATIKA BIASHARA YA MALI ZISIZOHAMISHIKA - LAMUDI TANZANIA
9 years ago
Bongo528 Sep
Tanzania hakuna management kuna madalali — AT
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Huduma unazoweza kupata bure mitandaoni-1
11 years ago
Mwananchi28 Feb
NHIF kutoa huduma za upimaji bure nchini
11 years ago
Mwananchi26 May
Ripoti: Wazee hawapati huduma za afya bure
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Umati kutoa huduma za upimaji saratani bure
CHAMA cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (Umati) kimewashauri wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya upimaji wa maradhi.
Miongoni mwa maradhi hayo ni ya ukosefu wa kinga mwilini (Ukimwi), saratani ya shingo ya kizazi na huduma za uzazi wa mpango katika banda la Umati kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF).
Ushauri huo umetolewa na Ofisa Habari wa Umati, Josephine Mugishagwe, aliyesema huduma za upimaji wa afya bure zinatolewa, hivyo ni vyema...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PEYHtTzMREo/VQFNTghULiI/AAAAAAAAqwE/CwhbD_Z0JgI/s72-c/unnamedA.jpg)
NHIF yaombwa kuendelea na huduma ya upimaji wa afya bure
![](http://3.bp.blogspot.com/-PEYHtTzMREo/VQFNTghULiI/AAAAAAAAqwE/CwhbD_Z0JgI/s1600/unnamedA.jpg)
Na Catherine Kameka
WADAU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wameuomba Mfuko huo kuendeleza programu za upimaji wa afya bure ili kuwasaidia wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujua hali za afya zao lakini...