Madaktari Kutoa huduma bure kwa watoto Tanzania.
Madaktari bingwa toka nchini Marekani watawasili nchini Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa sita ( june 2015 kwaajili ya kutoa huduma ya BURE kwa watoto wote wenye tatizo la kuzaliwa na mpasuko wa mdomo ( cleft lip). Huduma hizi zitafanyikia hospitali ya mkoa ya Mount Meru Arusha. Watoto toka mikoa yote wana karibishwa.Kama una mjua mtoto yeyote mwenye hili tatizo, tafadhali toa taarifa kwa mzazi au ndugu muhusika. Mwenye kuhitaji maelezo zaidi kwa wale walioko hapa Marekani, Tafadhali wasiliana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo18 Mar
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO


10 years ago
GPL
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno chatoa huduma ya bure katika kituo cha watoto wenye Albinism
Raisi Mstaafu wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno na Daktari Bingwa wa Watoto Rachel Mhavile toka Hospitali ya Taifa Muhimbili, akifanya ukaguzi wa kinywa na Meno kwa Kuyela Masuka, aliyeanguka toka juu ya mti nakusababisha jino lake lambele juu kushotolikawa linaninginia na kunadaktari aliye jaribu kulirudishia lakini tiba hiyo ikamshinda kwa sababu hakua amepiga mswaki vuzuri na kumsababishia kupata maambukizi na kushindwa kufumba mdomo na kutokula chakula, matibabu aliyoyapata...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YA ZANZIBAR YAENDELEA KUTOA ELIMU BURE KWA WATOTO

LICHA ya kupanda kwa gharama za uendeshaji wa sekta ya elimu hapa Zanzibar na duniani kote, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuhakikisha elimu inaendelea kutolewa bure kwa watoto wa Zanzibar kama ilivyotangazwa na Marehemu Mzee Abeid...
10 years ago
Michuzi
NHIF YAZINDUA HUDUMA ZA MATIBABU ZINAZOTOLEWA BURE NA MADAKTARI BINGWA-TABORA



11 years ago
MichuziHOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI
Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo.
10 years ago
Habarileo13 Nov
Madaktari bingwa 200 kutoa huduma
MADAKTARI bingwa zaidi ya 200 kutoka ndani na nje ya nchi, wanatarajiwa kutoa huduma za uchunguzi na matibabu bure wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), utakaofanyika kwa siku sita kuanzia Desemba 9 mwaka huu mjini Dodoma.
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Umati kutoa huduma za upimaji saratani bure
CHAMA cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (Umati) kimewashauri wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya upimaji wa maradhi.
Miongoni mwa maradhi hayo ni ya ukosefu wa kinga mwilini (Ukimwi), saratani ya shingo ya kizazi na huduma za uzazi wa mpango katika banda la Umati kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF).
Ushauri huo umetolewa na Ofisa Habari wa Umati, Josephine Mugishagwe, aliyesema huduma za upimaji wa afya bure zinatolewa, hivyo ni vyema...