HOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI
Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo. Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Mustafa Bapumia akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo na maadhimisho hayo.
Maofisa wa makambi ya saratani ya matiti wa Saratani wakisubiri kuzungumza na akina mama waliofika kuchunguzwa matiti yao.
Ofisa wa kambi ya saratani ya matiti, Emmy Shayo (katikati), akichukua maelezo kutoka kwa Furahini Ngwirizi aliyefika katika zoezi la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Umati kutoa huduma za upimaji saratani bure
CHAMA cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (Umati) kimewashauri wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya upimaji wa maradhi.
Miongoni mwa maradhi hayo ni ya ukosefu wa kinga mwilini (Ukimwi), saratani ya shingo ya kizazi na huduma za uzazi wa mpango katika banda la Umati kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF).
Ushauri huo umetolewa na Ofisa Habari wa Umati, Josephine Mugishagwe, aliyesema huduma za upimaji wa afya bure zinatolewa, hivyo ni vyema...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9onMqBWpz6s/VGnatN4HexI/AAAAAAAAYsU/2NsSbTYPNzE/s72-c/001.jpg)
Hospitali ya Aga Khan yatoa vipimo vya bure kwa wabunge Dodoma
![](http://3.bp.blogspot.com/-9onMqBWpz6s/VGnatN4HexI/AAAAAAAAYsU/2NsSbTYPNzE/s640/001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-faoo2SOFYMc/VGna2muuZMI/AAAAAAAAYsc/8hGuMSV8Oes/s640/002.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PhpRQMoFW8ZRCIYV5poLfDuaF1Y44XNKCRsBqgISlUrIwks-TBW5uD2ztaVfoHWWEul5rBjtxqGZ3ONMkbZimxCJBJu5Vboj/001.jpg)
HOSPITALI YA AGA KHAN YATOA VIPIMO VYA BURE KWA WABUNGE DODOMA
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Hospitali ya Aga Khan sasa kutibu saratani
10 years ago
Michuzi06 Feb
Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili
![exim1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/exim1.jpg)
11 years ago
GPLWAZIRI WA AFYA, DR. SEIF, AZINDUA KITUO CHA MATIBABU YA SARATANI HOSPITALI YA AGA KHAN
11 years ago
Mwananchi28 Feb
NHIF kutoa huduma za upimaji bure nchini
10 years ago
StarTV04 Feb
KCMC, Mbeya kutoa huduma ya upimaji Saratani
Na Blaya Moses,
Dodoma.
Serikali imeanzisha huduma ya upimaji wa saratani katika hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza huduma inayotarajiwa kuanza kupatikana kwenye hospitali ya rufaa ya KCMC na Mbeya
Huduma hiyo inakuja wakati ambapo asimilia 80 ya wananchi hufika kupata tiba katika vituo vya afya hapa nchini wakiwa kwenye hatua za mwisho za ugonjwa huo hali inayotajwa kupunguza uwezekano wa kupona.
Akielezea baadhi ya takwimu za ugonjwa huo kupitia tamko la Wizara mjini Dodoma...
10 years ago
VijimamboMadaktari Diaspora Wakiondoka Zanzibar baada ya Kumaliza Zoezi la Kutoa Huduma ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Meno.