Madaktari Diaspora Wakiondoka Zanzibar baada ya Kumaliza Zoezi la Kutoa Huduma ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Meno.
Madaktari Diaspora Washinton wakiwa katika bandari ya Zanzibar wakijiandaa kurudi nyumbani baada ya kumaliza ratiba yao Tanzania ya kutoa hudua ya Afya kwa Wananchi wa sehemu hizo mbili wakiwa Tanzania wameletwa na Jumuiya ya Watanzania Washington wakiongozana na Rais wa Jumuiya hiyo Ndg Iddi Sandaly na Mjumbe wa Kamati Bi Asha Nyanganyi. Zanzibar walikuwa wageni swa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).Madaktari haio wakiwa katika bandari ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMadaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno.Wakiwa Zanzibar
10 years ago
MichuziMadaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno
10 years ago
MichuziHOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI
Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo. Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Mustafa Bapumia akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo na maadhimisho hayo. Maofisa wa makambi ya saratani ya matiti wa Saratani wakisubiri kuzungumza na akina mama waliofika kuchunguzwa matiti yao. Ofisa wa kambi ya saratani ya matiti, Emmy Shayo (katikati), akichukua maelezo kutoka kwa Furahini Ngwirizi aliyefika katika zoezi la...
11 years ago
MichuziRais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India
from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.
Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...
10 years ago
Vijimambo18 Mar
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO
10 years ago
GPLCHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO
9 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR