Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Oct
TBCF na mkakati wa mapambano ya kuzuia saratani ya matiti na mlango wa kizazi nchini
Hospitali ya Saratani ya Ocean Road.
Na Beatrice Lyimo, Maelezo.
Takribani watu 40,000 nchini wakiwemo wanawake na wanaume wanapata ugonjwa wa saratani kila mwaka, ambapo asilimia 12 kati yao wana saratani ya matiti huku wengine wakiwa na saratani ya mlango wa kizazi.
Takwimu toka Hospitali ya Saratani ya Ocean Road zinaonyesha kuwa kati ya wagonjwa hao, idadi ya wanawake wanaopata ugonjwa huo kila mwaka ni zaidi ya 3,000 ambapo idadi hiyo ni sawa na asilimia 10 ya wanaofika kwa ajili ya...
11 years ago
MichuziMAMA SALMA AZINDUA RASMI UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI HUKO BAHI - MKOANI DODOMA.
11 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA AFYA KUHUSU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI, MATITI NA TEZI HUKO NEW YORK.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Penehupifo Pohamba, Mke wa Rais wa Namibia muda mfupi kabla ya kuhudhuria mkutano Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu...
10 years ago
Dewji Blog28 Feb
Mama Salma Kikwete awataka wanaume kuwaunga mkono wake zao kupima saratani za matiti na shingo ya kizazi
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Saratani mlango wa kizazi inaongoza nchini
TAKWIMU zinaonyesha kuwa kila mwaka kuna wagonjwa wapya 40,000 wa saratani huku saratani ya mlango wa kizazi ikiongoza. Hayo yalibainishwa na Daktari bingwa wa Saratani, ambaye pia ni Daktari bingwa...
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Uchunguzi saratani ya matiti bure
HOSPITALI ya Aga Khan (AKH), jijini Dar es Salaam imesema itakuwa ikiendesha kambi ya huduma ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti kila mwezi. Hayo yalibainishwa juzi na Mkurugenzi wa...