WAZIRI WA AFYA, DR. SEIF, AZINDUA KITUO CHA MATIBABU YA SARATANI HOSPITALI YA AGA KHAN
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dk. Seif Seleman Rashid akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya kwanza katika Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliohudhuriwa na mtoto kutoka familia ya familia ya Aga Khan, Zahra ulifanyika katika ukumbi uliopo hospitalini hapo. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid (kulia) akibadilishana mawazo na mtoto...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Jan
Kituo cha kutibu saratani chazinduliwa Aga Khan
SERIKALI imesema iko kwenye mchakato wa kuanzisha mfumo wa elektroniki katika hospitali zote nchini, kusimamia utendaji wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) na kuhakikisha dawa zote zinawafikia walengwa. Pia, imesema kutokana na kuongezeka tatizo la saratani nchini, inatarajia kuanzisha vituo viwili vya matibabu ya ugonjwa huo katika mikoa ya Mbeya na Kilimanjaro.
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Hospitali ya Aga Khan sasa kutibu saratani
11 years ago
GPL
CANADIAN PRIME MINISTER STEPHEN HARPER AND AGA KHAN OPEN THE ISMAILI CENTRE TORONTO AND AGA KHAN MUSEUM
11 years ago
MichuziHOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI
Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo.
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Rais Kikwete amkabidhi H.H. The Aga Khan hati ya chuo kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM



10 years ago
GPL
HOSPITALI YA AGA KHAN YATOA VIPIMO VYA BURE KWA WABUNGE DODOMA
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Chuo cha Aga Khan kujenga hospitali Kampala