Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete amkabidhi H.H. The Aga Khan hati ya chuo kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar

ag6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa  kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.

ag2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza  Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.

ag3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu yaIsmailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa kumkabidhi hati ya ChuoKikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulujijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Kiongozi wa madhehebu yaIsmailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza  Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete amkabidhi Aga Khan Hati ya Idhini

RAIS Jakaya Kikwete amekabidhi Hati Idhini ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kwa Mkuu wa Taasisi ya Aga Khan Duniani, Aga Khan huku akisema ana imani chuo hicho kitasaidia kupunguza pengo la rasilimali watu katika nyanja za sayansi, hesabu na utabibu.

 

10 years ago

Mwananchi

Chuo Kikuu cha Aga Khan chapata usajili

>Rais Jakaya Kikwete amemkabidhi Kiongozi wa Madhehebu ya Isimailia ulimwenguni, Mtukufu Aga Khan hati ya usajili wa Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) ikiwa ni hatua muhimu kwa taasisi hiyo kuendeleza utoaji wa elimu nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu cha Aga Khan kuipa Tanzania mamilioni

CHUO Kikuu cha Aga Khan (AKU) kitatumia Dola za Marekani bilioni 1 katika kujenga miundombinu ya elimu Afrika Mashariki kati ya hizo Dola za Marekani milioni 700 zitawekezwa Tanzania.

 

10 years ago

Dewji Blog

Canadian Prime Minister Stephen Harper and Aga Khan Open the Ismaili Centre Toronto and Aga Khan Museum

11 DSC_0460 (PM Harper and HH the Aga Khan waving to crowds outside the Ismaili Centre, Toronto - AKDN Zahur Ramji)

PM Harper of Canada and HH the Aga Khan waving to crowds outside the Ismaili Centre, Toronto – AKDN / Zahur Ramji).

The Right Honourable Stephen Harper, Prime Minister of Canada, and His Highness the Aga Khan formally opened the Ismaili Centre Toronto and Aga Khan Museum today.

These projects, which are initiatives of the Aga Khan, the 49th hereditary Imam of the Shia Ismaili Muslims and founder and Chairman of the Aga Khan Development Network, are intended to foster knowledge and...

 

10 years ago

GPL

CANADIAN PRIME MINISTER STEPHEN HARPER AND AGA KHAN OPEN THE ISMAILI CENTRE TORONTO AND AGA KHAN MUSEUM‏

PM Harper of Canada and HH the Aga Khan waving to crowds outside the Ismaili Centre, Toronto - AKDN / Zahur Ramji).…

 

9 years ago

Mwananchi

Chuo cha Aga Khan kujenga hospitali Kampala

Chuo Kikuu cha Aga Khan kipo mbioni kukamilisha ujenzi wa hospitali itakayotoa huduma za kisasa sambamba na kufanya tafiti mbalimbali juu ya magonjwa na tiba nchini Uganda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani