Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KCMC, Mbeya kutoa huduma ya upimaji Saratani

Na Blaya Moses,

Dodoma.

 

Serikali imeanzisha huduma ya upimaji wa saratani katika hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza huduma inayotarajiwa kuanza kupatikana kwenye hospitali ya rufaa ya KCMC na Mbeya

 

Huduma hiyo inakuja wakati ambapo asimilia 80 ya wananchi hufika kupata tiba katika vituo vya afya hapa nchini wakiwa kwenye hatua za mwisho za ugonjwa huo hali inayotajwa kupunguza uwezekano wa kupona.

 

Akielezea baadhi ya takwimu za ugonjwa huo kupitia tamko la Wizara mjini Dodoma...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Umati kutoa huduma za upimaji saratani bure

CHAMA cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (Umati) kimewashauri wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya upimaji wa maradhi.

Miongoni mwa maradhi hayo ni ya ukosefu wa kinga mwilini (Ukimwi), saratani ya shingo ya kizazi na huduma za uzazi wa mpango katika banda la Umati kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF).

Ushauri huo umetolewa na Ofisa Habari wa Umati, Josephine Mugishagwe, aliyesema huduma za upimaji wa afya bure zinatolewa, hivyo ni vyema...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI



Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo. Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Mustafa Bapumia akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo na maadhimisho hayo. Maofisa wa makambi ya saratani ya matiti wa Saratani  wakisubiri kuzungumza na akina mama waliofika  kuchunguzwa matiti yao. Ofisa wa kambi ya saratani ya matiti, Emmy Shayo (katikati), akichukua maelezo kutoka kwa Furahini Ngwirizi aliyefika katika zoezi la...

 

11 years ago

Mwananchi

NHIF kutoa huduma za upimaji bure nchini

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeanza mkakati wa kupima afya za Watanzania bila malipo nchini nzima.

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari Diaspora Wakiondoka Zanzibar baada ya Kumaliza Zoezi la Kutoa Huduma ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Meno.

Madaktari Diaspora Washinton wakiwa katika bandari ya Zanzibar wakijiandaa kurudi nyumbani baada ya kumaliza ratiba yao Tanzania ya kutoa hudua ya Afya kwa Wananchi wa sehemu hizo mbili wakiwa Tanzania wameletwa na Jumuiya ya Watanzania Washington wakiongozana na Rais wa Jumuiya hiyo Ndg Iddi Sandaly na Mjumbe wa Kamati Bi Asha Nyanganyi. Zanzibar walikuwa wageni swa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).Madaktari haio wakiwa katika bandari ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga kuanza upimaji Saratani ya matiti bila malipo

Serikali wilayani hapa, inatarajia kuendesha upimaji wa saratani ya matiti na kizazi bila malipo ili kuwawezesha wanawake kutambua afya zao mapema kabla ya maradhi hayo hayajajitokeza.

 

11 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC YAZINDUA HUDUMA YA UPASUAJI KWA NJIA YA DARUBINI

 Madaktari bingwa wakifanya upasuaji kwa njia ya darubini ikiwa ni teknolojia mpya kufanyika katika Hospitali ya rufaa ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji pamoja na kupunguza vifo.  Madaktari KCMC wakimfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia Teknolojia mpya Darubini.  Dkt. Kondo Chilonga akiongoza madaktari wenzake kumfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia teknolojia mpya ya Darubini ambayo inaruhusu upasuaji kufanyika bila ya kuchana ngozi.  Zoezi linaendelea...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC

Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini Dk Martini Shao akiwa na mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB pamoja na kaimu mkurugenzi wa hosptali ya KCMC .Prof Raimosi Ollomi wakati akizindua tawi dogo la Benki ya CRDB. Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB,Dk Charles Kimei akimuelekeza jambo Askofu Dk Martin Shao kabla ya uzinduzi wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi. Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini,Dk Martin...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani