Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana Kuongezeka Katika Biashara ya Mali Zisizohamishika-Lamudi Tanzania

Timu ya Lamudi Tanzania.Timu ya Lamudi Tanzania.
BIASHARA ya ununuzi na ukodishaji wa nyumba inashamiri kwa haraka na biashara hii inatumiwa na vijana wengi katika sekta ya uwekezaji hasa miaka ya karibuni. Kwa sasa imefikia asilimia 59.37 ya vijana wenye umri kati ya 25-34, ambao wanajihusisha na shughuli hii, kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na Lamudi, Inaonyesha kuwa watu wengi zaidi wanania ya kuanza biashara hii wakiwa bado vijana. Utafiti huo, unaonyesha kuwa ukilinganisha vijana wenye umri kuanzia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VIJANA KUONGEZEKA KATIKA BIASHARA YA MALI ZISIZOHAMISHIKA - LAMUDI TANZANIA‏

Timu ya Lamudi Tanzania. BIASHARA ya ununuzi na ukodishaji wa nyumba inashamiri kwa haraka na biashara hii inatumiwa na vijana wengi katika sekta ya uwekezaji hasa miaka ya karibuni. Kwa sasa imefikia asilimia 59.37 ya vijana wenye umri kati ya 25-34, ambao wanajihusisha na shughuli hii, kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na Lamudi, Inaonyesha kuwa watu wengi zaidi wanania ya kuanza biashara hii wakiwa bado vijana. Utafiti...

 

10 years ago

Vijimambo

Lamudi Tanzania kutangaza huduma za madalali bure

Meneja Huduma kwa Wateja wa Lamudi Tanzania, Godwin Lemma akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam. Meneja Huduma kwa Wateja wa Lamudi Tanzania, Godwin Lemma akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam.[/caption] KAMPUNI ya Lamudi Tanzania, imetambulisha huduma yake ya kuwawezesha madalali mbalimbali wanaofanya kazi ya kuwatafutia nyumba, viwanja na magari wateja wao ili kuweza kutangaza huduma wanazotoa. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo jijini Dar es Salaam, Meneja Huduma kwa Wateja wa Lamudi Tanzania, Godwin Lemma amesema kwa sasa madalali...

 

10 years ago

Mwananchi

Idadi ya vijana wanaoajiriwa yazidi kuongezeka

Idadi ya vijana wanaoajiriwa katika utumishi wa umma yaongezeka na vijana wengi wamekuwa na mwamko na hamasa ya kupenda kufanya kazi katika utumishi wa umma

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA, AZURU KATIKA BANDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA, POLISI, MAGEREZA NA MENGINEYO

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Bi. Jackline Maleko, Mkurugenzi Mtendaji wa TANTRADE  alipowasili viwanjani hapo kutembelea Maonesho ya 39 ya Biashara ya kimataifa mapema. Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho ya Sabasaba lengo likiwa ni kutoa elimu kwa wananchi juu ya taratibu na huduma mbalimbali zinazotolewa. Katika Banda la Mahakama kuna uwakilishi wa Mahakama za Mwanzo, Wilaya, Mkoa/Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufani, Tume ya...

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akihutubia katika ufunguzi rasmi wa Semina ya Ushirikiano wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency ya Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway, Mhe. Monica Maeland, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Norway nchini, Mhe. Hanna-Marie Kaarstad na wadau...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA’ 2015

 Muonekano wa Banda la Mahakama ya Tanzania likiwa katika Viwanja vya Julius Nyerere maarufu kama Viwanja vya Sabasaba, Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho haya lengo likiwa ni kutoa fursa kwa wananchi kupata elimu juu ya taratibu mbalimbali za Mahakama ikiwa ni pamoja na kutoa Malalamiko pamoja na kupokea maoni ya jinsi ya kuboresha huduma ya utoaji haki nchini. Banda la Mahakama lipo mkabala na Banda la Zanzibar ndani ya viwanja vya Sabasaba. Katika Maonesho ya mwaka huu,...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LAPONGEZA JUHUDI ZA TANZANIA KATIKA KUPAMBANA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA

Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya jamii

KAIMU Kamishina Jenerali wa Mamlaka  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya nchini James Kaji amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza kwa asilimia 90 uingizwaji wa dawa za kulevya nchini kupitia ukanda wa Bahari ya Hindi na kwamba  Serikali ya Awamu ya Tano imepongezwa na Umoja wa Mataifa kupitia Shirika lake la UNODC linaloshughulika na dawa hizo na uhalifu kutokana na kutambua juhudi zake katika kukomesha biashara hiyo.

Akizungumza leo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais aiwakilisha Tanzania katika kongamano la pili la kimataifa la biashara kwa nchi za Afrika Jijini Dubai

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika majadiliano kuhusu utengamano wa Afrika na Fursa za biashara na Uwekezaji Katibu  na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Richard Sezibera, wakati wakihojiwa na Mwandishi wa habari wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Kampuni ya ‘Eddo Media’, Mark Eddo (kushoto). (Picha na OMR).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Oktoba Mosi, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani