TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akihutubia katika ufunguzi rasmi wa Semina ya Ushirikiano wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency ya Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway, Mhe. Monica Maeland, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Norway nchini, Mhe. Hanna-Marie Kaarstad na wadau...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_oeDTsN3sfo/VLZ-AywIn0I/AAAAAAAG9WM/oRP1htL-fuE/s72-c/DSC_0474.jpg)
WATANZANIA WAASWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UWEKEZAJI
![](http://3.bp.blogspot.com/-_oeDTsN3sfo/VLZ-AywIn0I/AAAAAAAG9WM/oRP1htL-fuE/s1600/DSC_0474.jpg)
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii ,Dar
Watanzania wametakiwa kuonyesha ushirikiano katika sekta ya uwekezaji ili kuweza kuwavutia wawekezaji wa nje kuwekeza nchini.
Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Soud Ahmed Al-Rahili alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati walipokuwa wakijadili masuala ya...
10 years ago
Vijimambo13 Mar
Tanzania na China kuendeleza ushirikiano kwenye Sekta ya Uwekezaji na Viwanda
10 years ago
MichuziBARAZA LA BIASHARA MKOA WA DODOMA LASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ILI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA DODOMA
5 years ago
MichuziDKT. MPANGO: USHIRIKIANO WA TANZANIA NA SWEDEN USAIDIE BIASHARA NA UWEKEZAJI
Na. Josephine Majura na Peter Haule, WFM, Dodoma
Serikali imesema kuwa Ushirikiano mpya kati ya Tanzania na Sweden unatakiwa kujikita katika biashara na Uwekezaji kuliko ushirikiano wa misaada pekee ili kuisaidia Tanzania kuwa na uchumi endelevu na shirikishi kwa manufaa ya wananchi wa nchi hizo.
Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Bw. Anders Sjoberg.
Dkt. Mpango alisema kuwa...
10 years ago
Dewji Blog22 Apr
Tanzania na Korea ya Kusini zabadilishana uzoefu katika kuimarisha uwekezaji
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda akifungua kongamano kongamano la siku moja lililofanyika leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya uwekezaji kati ya Tanzania na Korea ya Kusini ili kubadilishana uzoefu na kushirikiana katika kuinua uchumi wa nchi zote mbili kwa kushirikisha sekta ya Umma na sekta binafsi katika kujiletea maendeleo endelevu.
Baadhi ya wajummbe kutoka nchini Korea ya Kusini wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda (hayupo...
10 years ago
MichuziTanzania na China kuendeleza ushirikiano katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji
5 years ago
MichuziMatukio Katika Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7ZQGDf6D_1k/XlFy2hjg5LI/AAAAAAALe2I/p1tuxuKBuXQWB74lEafaNnKKCp8hfPMpwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-49-2048x1365.jpg)
Matukio katika picha: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM.
![](https://1.bp.blogspot.com/-7ZQGDf6D_1k/XlFy2hjg5LI/AAAAAAALe2I/p1tuxuKBuXQWB74lEafaNnKKCp8hfPMpwCLcBGAsYHQ/s640/1-49-2048x1365.jpg)
Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, unaoendelea katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,alipowasili kufungua Mkutano huo ambapo Tanzania inatarajia kuzindua cheti cha uhalisia ili kuwezesha usafirishaji wa Madini ya Bati.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2-42-scaled.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k7ul4Jh372M/XlJg4aTrRII/AAAAAAACBm0/rcQFThN-LnIsc4F-2KS8siKV2qoJZEUngCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200223-WA0004.jpg)
Mazingira bora ya uwekezaji na biashara ni nguzo ya ukuaji wa sekta ya mawasiliano ya simu
![](https://1.bp.blogspot.com/-k7ul4Jh372M/XlJg4aTrRII/AAAAAAACBm0/rcQFThN-LnIsc4F-2KS8siKV2qoJZEUngCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200223-WA0004.jpg)
Katika nchi yangu za Afrika maendeleo haya ya kidijitali yamewezakana kutokana na uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya mawasiliano pamoja na serikali za nchi husika kuunga mkono juhudi za sekta za sekta binafsi kisera na...