JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA, AZURU KATIKA BANDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA, POLISI, MAGEREZA NA MENGINEYO
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Bi. Jackline Maleko, Mkurugenzi Mtendaji wa TANTRADE alipowasili viwanjani hapo kutembelea Maonesho ya 39 ya Biashara ya kimataifa mapema. Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho ya Sabasaba lengo likiwa ni kutoa elimu kwa wananchi juu ya taratibu na huduma mbalimbali zinazotolewa. Katika Banda la Mahakama kuna uwakilishi wa Mahakama za Mwanzo, Wilaya, Mkoa/Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufani, Tume ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kRqXkrUnE4Q/VZMGlo3qc2I/AAAAAAAHmC4/1xtugH6DQ2c/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
MAHAKAMA YA TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA’ 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-kRqXkrUnE4Q/VZMGlo3qc2I/AAAAAAAHmC4/1xtugH6DQ2c/s640/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LDK-DUlERPE/U7hTzehHzTI/AAAAAAAFvP4/olP9OZR1a6U/s72-c/unnamed+(7).jpg)
JK ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA, LEO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-LDK-DUlERPE/U7hTzehHzTI/AAAAAAAFvP4/olP9OZR1a6U/s1600/unnamed+(7).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-DmV-HR2gbng/U7hTz0fZsYI/AAAAAAAFvP8/DswuNAZxQI4/s1600/unnamed+(8).jpg)
10 years ago
VijimamboBANDA LA JESHI LA MAGEREZA LANG'ARA KWA BIDHAA BORA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA 'SABASABA' 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-kI6ohOzJvYo/VZWRacxoC0I/AAAAAAADvRk/Ie7GnrC7WhA/s640/image.jpeg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QPjgXoCaobQ/VZWRamxDkcI/AAAAAAADvRg/Lp6c6rfcFsw/s640/image_1.jpeg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nN61TXATLVw/VZ0WJVSCSFI/AAAAAAAHnxQ/Ui4MhmB-sKE/s72-c/IMG_20150707_125754.jpg)
BANDA LA TAWLA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASABA
![](http://4.bp.blogspot.com/-nN61TXATLVw/VZ0WJVSCSFI/AAAAAAAHnxQ/Ui4MhmB-sKE/s640/IMG_20150707_125754.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-cXBsDagkGZ4/VZ0WJFa6AzI/AAAAAAAHnxU/Q4CJzc21eJQ/s640/IMG_20150707_125832.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ShLKUsF6M5U/VZ0WKNRWfCI/AAAAAAAHnxg/ltEyQKf-cPM/s640/IMG_20150707_131321.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-v8-oGbvPMUY/VZ0WOU_KfRI/AAAAAAAHnxw/wpznu8aRgI0/s640/IMG_20150707_134206%2B%25282%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-RYs9QXyO8I8/U7ucPwCbGuI/AAAAAAAFxW8/9ZIBF5RPkYs/s72-c/image.jpeg)
WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-RYs9QXyO8I8/U7ucPwCbGuI/AAAAAAAFxW8/9ZIBF5RPkYs/s1600/image.jpeg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-hHZstPnDE-s/U7ucPyjVrnI/AAAAAAAFxXA/ZOLbehgKUoQ/s1600/image_1.jpeg)
10 years ago
VijimamboJESHI LA MAGEREZA LAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KATIKA UTENGENEZAJI WA SAMANI MAONESHO YA 39 YA BIASHARA KIMATAIFA, "SABASABA", MWAKA 2015
Na; Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza
Jeshi la Magereza limeibuka Mshindi wa kwanza kwa upande wa Utengenezaji bidhaa za Samani kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Jijini, Dar es Salaam Maarufu "SABASABA" kwa Mwaka huu 2015.
Akizungumzia ushindi huo Kamishna...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Banda la TAWLA lang’ara maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba
Baadhi ya watu waliohudhuria kwenye banda la chama cha wanasheria wanawake (TAWLA) kwenye maonesho ya kimataifa sabasaba.
Mkurugenzi wa Programu wa TAWLA, Naseku Kisambu akitoa maelezo kwa watu waliohudhuria banda lao kwenye maonesho ya sabasaba jinsi gani Tawla inavyosaidia kisheria.
Afisa habari wa TAWLA Goodness Mrema akitoa maelezo kwa watu waliohudhuria bandani kwao.
Mkurugenzi mtendaji wa TAWLA, Tike Mwambipile akihojiwa na mwandishi wa TBC kwenye maonesho ya kimataifa...
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
Rais Kikwete atembelea banda la TTCL maonesho ya kimataifa ya biashara
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena jana Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya juzi kutokamilika kutokana na muda.
Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wakipiga picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete nje ya Banda la TTCL kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba jana Juai 6, 2014.
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa...
11 years ago
Michuzi03 Jul
Kaimu Katibu Mkuu atembelea Banda la Wizara kwenye Maonesho ya Sabasaba