BANDA LA JESHI LA MAGEREZA LANG'ARA KWA BIDHAA BORA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA 'SABASABA' 2015
Meza ya Chakula iliyotengenezwa kwa Ustadi mahiri katika Kiwanda cha Userelemala kilichopo Gereza Kuu Ukonga, Dar es Salaam. Meza hiyo ina viti vinane imetengenezwa kwa kutumia mbao ya Mninga inauzwa kwa Tsh. 2500,000/=
Seti mbalimbali za kapeti za mlangoni ambazo zimetengenezwa kwa kutumia malighafi za mkonge na nazi kama zinavyoonekana katika picha. Kapeti hizo zenye ubora zinauzwa Tsh. 7000/= hadi 15,000/=
Vikoi kutoka Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza Kuu Butimba, Mwanzaj vikiwa katika...
Vijimambo