Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF yaombwa kuendelea na huduma ya upimaji wa afya bure

Dr. Natalius Kapilima wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya akimpima shinikizo la damu Bw. Exadius Nthono wa Lesotho katika mkutano wa mwaka wa wahasibu waandamizi unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere ambapo NHIF inatoa huduma za upimaji afya bure. 
Na Catherine Kameka
WADAU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wameuomba Mfuko huo kuendeleza programu za upimaji wa afya bure ili kuwasaidia wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujua hali za afya zao lakini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NHIF yapongezwa kwa huduma za upimaji Afya bure

Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia kipeperushi cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kinachoelezea fao la wastaafu wakati alipotembelea banda la Mfuko huo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Maendeleo Tengeru.  Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa Sabi akiteta jambo na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Kagenzi Trasias baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Maofisa wa NHIF kuhusiana na namna ya kujiunga na Mfuko huo kwa wanafunzi wa Vyuo vikuu.  Ofisa wa NHIF, Paul...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF yatoa huduma za upimaji afya bure wiki ya Utumishi wa Umma

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Raphael Mwamoto akitoa ufafanuzi wa huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika alipotembelea banda la Mfuko huo, Kushoto ni Meneja wa NHIF, Mkoa wa Temeke Ellentruda Mbogoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika akifurahi jambo baada ya kupata maelezo na huduma zinazotolewa na NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

NHIF kutoa huduma za upimaji bure nchini

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeanza mkakati wa kupima afya za Watanzania bila malipo nchini nzima.

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA PSPF WACHANGAMKIA UPIMAJI AFYA BURE KWA NHIF

 Wadau wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakipata huduma ya kupimna afya bure kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.  Wadau wa mkutano huo wakiwa kwenye foleni ya kupima afya bure kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa PSPF uliozinduliwa jana na Rais Mstaafu All Hassan Mwinyi.  Wakipata vipimo vya sukari na shinikizo la damu.  Maofisa kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya na wataalam kutoka Hospitali ya Amana wakitoa huduma kwa wadau hao.

BOFYA HAPA KWA...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF kuendelea kuboresha huduma za afya nchini.




Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko huo Bw. Deusdedit Rutazaa.
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watoto Yatima wsa kituo cha Valentine Children Home wapatiwa huduma za upimaji wa afya zao bure!

IMG_0355

Muhudumu wa afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo tandika Dar es salaam Bi, Latifa Masasi wa pili akimpima afya mtoto Lovenes Masawe kulia ni nesi Mary Hongoli

IMG_0349

Muhudumu wa afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo tandika Dar es salaam Bi, Latifa Masasi wa pili   mpima mtoto Nuru Edward wa kituo cha kulea watoto yatima cha Valentine children home kilichopo yombo buza kulia ni mtoto Clara Olimpia nae akihudumiwa na nesi Mary Hongoli

IMG_0330

watoto waliojitokezwa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF LINDI WATOA ELIMU KATA KWA KATA KWA WANACHAMA WAKE,SANJARI NA UPIMAJI WA AFYA BURE KWA WANANCHI WILAYANI RUANGWA

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Ofisi ya Mkoa wa Lindi,Fortunata Raymond akitoa Mada ya Maboresho yanayotekelezwa na Mfuko hususani kitita cha Mafao kwa Wanachama katika Kata namichiga Wilayani Ruangwa ambapo pia aliwataka kutumia Mkutano huo kubainisha Changamoto hasi na Chanya zitakazowezesha Maboresho Ya Huduma Za Matibabu Sambamba Na Sekta Ya Afya Kwa Ujumla,Kushoto Katikati Ni Mtendaji Kata Ya Namichiga Richard Nnonjela Na Kushoto Kabisa Ni Mwalimu Mkuu Wa Shule...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Umati kutoa huduma za upimaji saratani bure

CHAMA cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (Umati) kimewashauri wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya upimaji wa maradhi.

Miongoni mwa maradhi hayo ni ya ukosefu wa kinga mwilini (Ukimwi), saratani ya shingo ya kizazi na huduma za uzazi wa mpango katika banda la Umati kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF).

Ushauri huo umetolewa na Ofisa Habari wa Umati, Josephine Mugishagwe, aliyesema huduma za upimaji wa afya bure zinatolewa, hivyo ni vyema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani