ACHENI KUTOA TAARIFA AMBAZO SIO SAHIHI, TUENDELEENI KUWA WAZALENDO

Na Ahmed Mahmoud ArushaWIZA ya maliasili na Utalii Imejipanga kuhuisha sekta ya Utalii nchini kwa kushirikiana na wadau wa Utalii baada ya watalii kuonyesha nia ya kuja nchini kuanzia mwezi ujao.
Suala hilo limekuja wakati dunia ilipojipata kwenye kisa cha Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu Covid 19 Unaosababishwa na virusi vya Corona na kuzifanya nchi nyingi dunia kufunga mipaka yao kudhibiti janga hilohuku Watalii wengi wakisitisha safari zao za kuja nchini.
Kwa Muktadha huo kwa siku za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Feb
TAARIFA YA GAZETI LA MTANZANIA SIO SAHIHI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Benard Membe (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Makanisa ya Wasabato (SDA) wakati wa siku ya ufungaji wa Kongamano hilo lililofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la kila siku la Mtanzania tarehe 9 Februari, 2015, kuna taarifa yenye kichwa cha habari inayosemeka kuwa, “Membe adaiwa kutetea mtandao wa kifisadi”. Taarifa ya Mtanzania inadai Mheshimiwa...
5 years ago
BBCSwahili25 Apr
Virusi vya Corona: Taarifa ambazo si sahihi kuhusu corona zimetapakaa Afrika?
9 years ago
Habarileo19 Dec
TMA yaahidi kutoa taarifa sahihi
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuwa itaendelea kuboresha utoaji wa taarifa za hali ya hewa nchini kwa kutoa taarifa sahihi na zenye ubora.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Viongozi zingatieni kutoa taarifa sahihi
5 years ago
Michuzi
WANANCHI WASHAURIWA KUTOA TAARIFA SAHIHI ZILIZOTHIBITISHWA

LEO Aprili 2 dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kuhakikisha ukweli wa taarifa juu ya mambo yanayosikika ( World Fact Checking Day) ni siku ya kila mmoja kutafakari juu ya taarifa kuhusu taarifa anayopokea na kuipeleka kwa watu wengine.
Ikiwa ni maadhimisho ya tatu kufanyika mtandao wa uhakiki wa taarifa duniani (IFNC) umeeleza kuwa maadhimisho ya siku hiyo ni kwa kila mmoja wakiwemo wananchi, wanahabari na wataalamu wa uhakiki wa taarifa ikiwa...
11 years ago
Michuzi.jpg)
SOMO LA BURE LA LEO: KUWA MAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Kuchaguana kwa jinsia sio sahihi
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Watakombolewa na elimu sahihi sio siasa
9 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: TAARIFA SAHIHI YA TAARIFA YA MABUNDA YA NOTI KWENYE NDOO INAYOZAGAA MITANDANO HII HAPA....
