KUWA MAKINI KATIKA KUWASHAURI WAPENZI
![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vAPnCShAO14S0MAcMWSS7C0l4Ar8Hr8B9-OG3C4JBWINrlkBHXDPt0ilWwQ9P5ZD1YBrohP2aP9*ybrowAJ-9*-/Loves.jpg)
NAKUKARIBISHA katika Jumanne tuliyoiona kwa kudra za Mwenyezi Mungu kwa kutupa pumzi na uhai wake bure.Leo tutazungumzia kuhusu suala zima la kuwa makini katika kuwashauri wapenzi waliofarakana. Kama unataka kuwashauri watu walio na malumbano katika uhusiano wa mapenzi basi kwanza washauri kwa kuutenga ukweli na uongo bila kuegemea upande mmoja. Pili kuwa makini kuuponda upande mmoja ambao haupo karibu yako wakati ukimshauri...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0851.jpg)
REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TZ3PKmAV-XY/U0HVtTcax_I/AAAAAAAFZF0/mUI6Ufle6K8/s72-c/unnamed+(53).jpg)
SOMO LA BURE LA LEO: KUWA MAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI
9 years ago
StarTV04 Jan
 Wataalam wa ardhi watakiwa kuwa makini katika upimaji ili Kuepuka Migogoro
Wataalam wa ardhi katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya wametakiwa kuwa makini wakati wa utekelezaji wa kazi ya upimaji wa viwanja vya makazi na mji wa halmashauri hiyo ili kuepuka migogoro ya ardhi isiyo ya lazima na wananchi.
Tahadhari hiyo imetolewa na Kamishna wa Ardhi kanda ya kaskazini Suma Tumpale kutokana nia taarifa ya wataalamu wa Ardhi wa Halmashauri hiyo kueleza kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wananchi wanaopinga uendeshwaji wa zoezi hilo katika maeneo yao.
Halmashauri ya...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Nyota wa 'Empire' wadaiwa kuwa wapenzi
11 years ago
Bongo519 Jul
Lil Wayne na Christina Milian wadaiwa kuwa wapenzi!!
10 years ago
Vijimambo31 Jul
LEO NDO’ UNAJUA KUWA HAKUFAI, ANA WAPENZI WENGI?-2
![](http://api.ning.com/files/NQ48wH9Dt2QqvA3biH1aba*V-X0tKc*5ENH8YgfrUQREbJufDPhq9RvYQadQ1dC5qTY2zEevsk9SkqpRa3gcFcoTBEaOVPnK/17couplecuddlinginbedmain.jpg?width=650)
Ninachokizungumzia kwenye makala haya ni ile tabia ya baadhi ya watu kuwatangazia wapenzi wao wa zamani mambo mabaya ili kuwachafulia katika mahusiano yao yajayo.
Wanaofanya hivyo wapo wengi sana huko mtaani. Unaweza kukuta wameishi kwa miaka mingi wakitamkiana kila aina ya maneno matamu ya kimahaba, kuitana majina mazuri lakini walipokuja kuachana mpenzi amegeuka kuwa fala. Hii...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7466U3ZMMqVUOg4pxP1AffHVG31ApNX1grC79lGYeIb8nBnYsUuY1nWLTFT1Y-wjv824f1u2IHN8uKrBpsqtT-*QRWeaqfZQ/LOVE.jpg?width=650)
LEO NDO’ UNAJUA KUWA HAKUFAI, ANA WAPENZI WENGI?