LEO NDO’ UNAJUA KUWA HAKUFAI, ANA WAPENZI WENGI?
![](http://api.ning.com:80/files/7466U3ZMMqVUOg4pxP1AffHVG31ApNX1grC79lGYeIb8nBnYsUuY1nWLTFT1Y-wjv824f1u2IHN8uKrBpsqtT-*QRWeaqfZQ/LOVE.jpg?width=650)
Kwenye suala la uhusiano, yapo mengi ya kuvumiliana. Unaowaona leo wako kwenye penzi lenye furaha wamevumiliana kwa mengi. Lakini pia wapo ambao mpaka leo hii unavyowaona, wameachwa na kuacha sana. Hilo linatufanya tuamini kwamba kuachana ni jambo la kawaida. Siyo ajabu wewe kuachana na huyo uliyenaye kwa kuwa utakuwa si wa kwanza kuacha wala kuachwa. Wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo watu ni wa ajabu sana na naweza kuwaita...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Jul
LEO NDO’ UNAJUA KUWA HAKUFAI, ANA WAPENZI WENGI?-2
![](http://api.ning.com/files/NQ48wH9Dt2QqvA3biH1aba*V-X0tKc*5ENH8YgfrUQREbJufDPhq9RvYQadQ1dC5qTY2zEevsk9SkqpRa3gcFcoTBEaOVPnK/17couplecuddlinginbedmain.jpg?width=650)
Ninachokizungumzia kwenye makala haya ni ile tabia ya baadhi ya watu kuwatangazia wapenzi wao wa zamani mambo mabaya ili kuwachafulia katika mahusiano yao yajayo.
Wanaofanya hivyo wapo wengi sana huko mtaani. Unaweza kukuta wameishi kwa miaka mingi wakitamkiana kila aina ya maneno matamu ya kimahaba, kuitana majina mazuri lakini walipokuja kuachana mpenzi amegeuka kuwa fala. Hii...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-sQz0jxSRF8E/VToKVAQTuGI/AAAAAAAAsiA/Zqy4QvTuJQY/s72-c/wema%2Bsepetu990.jpg)
PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO
![](http://api.ning.com/files/nBD8FQWarq-4R4WFf5QoJ*rzQSw0U9KUDL31XKiP1mNjS1erGKSqtvZe1mZJKHS51JEut23QP6TvboUuWotlUSMi6vmJn78e/wemasepetu.jpg)
The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi
Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...
11 years ago
Bongo531 Jul
Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-UfKBFSkoNtk/VIHBQkKvwUI/AAAAAAAARiI/mD-gTDVGAGA/s72-c/INDEPENDENCE%2BBRAND%2BNEW.png)
DIAMOND UHURU PARTY WASHINGTON DC -KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI "TUMEFANIKIWA KUONGEZA NAFASI "20 TU" TAFADHALI ZIKIISHA HIZI NDO BASI !
![](http://4.bp.blogspot.com/-UfKBFSkoNtk/VIHBQkKvwUI/AAAAAAAARiI/mD-gTDVGAGA/s1600/INDEPENDENCE%2BBRAND%2BNEW.png)
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Amanda McCracken: Mwanamke aliyekuwa na wapenzi wengi lakini akasalia bikra hadi umri wa miaka 41
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Je unajua jinsi unavyoweza kuwa kiongozi bora
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Usijidanganye kuamini kuwa unajua kila kitu
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Nyota wa 'Empire' wadaiwa kuwa wapenzi