Je unajua jinsi unavyoweza kuwa kiongozi bora
Kufuatia uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni kuna baadhi ya wasomaji wameniomba niandike kuhusu uongozi. Hata hivyo, nilipoamua kuandika kuhusu mada hii nikawa na hofu kuwa itasomwa na watu wachache sana yaani viongozi tu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Aug
Jinsi mama mpya unavyoweza kuwa mlezi bora zaidi
Kuwa mama si kitu rahisi kama watu wengi wanavyodhani. Kuna mambo mengi yanayopaswa kuzingatiwa ili kuwa si tu mama bora bali pia mlezi sahihi wa familia.
11 years ago
GPL
MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI
Tukiacha mbali picha ambayo mara nyingi au kwa miaka mingi imekuwa ikijengwa vichwani mwa wengi wanapoona na kudhani kwamba fulani ni kiongozi bora [pengine kwa muonekano tu], au kwa sababu anashuka kutoka kwenye gari kwa mbwembwe, tabasamu baada ya kufunguliwa mlango na mkanda na kisha kupokelewa briefcase yake, yapo mambo kadhaa ambayo yanamfanya mtu awe kiongozi bora na sio bora kiongozi. Na kadri siku zinavyokwenda,...
11 years ago
Michuzi
MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI

5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya corona: Jinsi unavyoweza kuburudika wakati unapokuwa umejitenga
Wasanii mbali mbali duniani wamebuni mbinu ya kuwafurahisha kwa njia ya mtandao watu wanaokuwa wamejitenga
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Virusi vya Corona: Jinsi unavyoweza kufanikiwa binafsi kujitenga ili kuepusha maambukizi.
Kuanzia kuagiza chakula hadi namna unavyoweza kuishi na familia, hivi ndivyo unavyoweza kuepuka kusambaza virusi vya Corona.
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Fahamu jinsi unavyoweza kutumia kushindwa kwako kama kichocheo cha kupata ushindi maishani
Je umewahi kushindwa kutenda jambo lilikuwa muhimu sana kwa maendeleo ya maisha yako? Je hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache sana? Inapotokea huwa unafanya nini? Huwa unakata tamaa kabisa na kuacha kujaribu tena? Kabla hujatafakari sana kuhusu suala hili hebu soma taarifa yangu fupi kuhusu suala hili.
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Je, unajua jinsi ya kuwalea vijana? -1
Je, wewe au ndugu zako mnamudu kuishi na vijana wenu kwa maelewano mazuri? Kama hapana ni kwa sababu gani? Je, unafikiri ni nani mwenye makosa? Ni vijana au wazazi?
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Je, unajua jinsi ya kuwalea vijana? -2
Wiki iliyopita tuliwaletea sehemu ya kwanza ya jinsi ya kuwalea vijana, leo tunaendelea ambapo tutakamilisha mada hiyo. Endelea...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania