Majibu ya Mh.Jerry Silaa kuhusiana na taarifa zinazosambazwa mitandaoni
![](http://3.bp.blogspot.com/-3d0syE5Z68M/U1UIWdTCTDI/AAAAAAAFcLg/68c62FfTgzU/s72-c/3569df159eL.jpg)
Nimepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni ikidaiwa ni mawasiliano baina yangu na Ridhiwani Kikwete, Mjumbe wa NEC na Mbunge mteule wa Jimbo la Chalinze.
Ingawa si tabia yangu kukanusha mambo yaliyotengenezwa kwa sababu anazojua muandaaji lakini kwa idadi ya simu nilizopokea kwa faida ya wengi ni bora niseme yafuatayo.
1.Kwa wanaofahamu matumizi ya whatsapp, screen shot hii ilipaswa kutoka kwenye simu yangu, kwa maana nyingine ni mimi mwenyewe ndiye chanzo cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2iwCbZwertw/U6F6_qYs5oI/AAAAAAAFrgA/M0ncIHPq8Gg/s72-c/Jerry-Silaa.jpg)
TAARIFA YA MH. JERRY SILAA BAADA YA KUIBIWA AKAUNTI ZAKE ZA FACEBOOK NA TWITTER
![](http://4.bp.blogspot.com/-2iwCbZwertw/U6F6_qYs5oI/AAAAAAAFrgA/M0ncIHPq8Gg/s1600/Jerry-Silaa.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
“Taarifa zinazotolewa na wanaojiita viongozi wa Machinga Complex zipuuzwe”- Jerry Silaa
Halmasahuri ya Manispaa ya Ilala imesikitishwa sana na habari za upotoshwaji zilizofanywa na wanaojiita viongozi wa soko la Machinga complex zikimlenga Mstahiki Meya wa Halmashauri Mhe.Jerry Silaa.
Ieleweke wazi soko la Machinga Complex linamilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na lina Bodi na Manejimenti ya Soko, kikundi cha watu wanaojita viongozi hawako kisheria lakini ndio walewale waliochangisha fedha kwa wafanyabiashara kinyume cha sheria na kujenga mabanda kuzunguka soko...
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Jerry Silaa ahimiza upimaji wa VVU
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa jana amehudhuria maadhimisho ya siku ya UKIMWI iliyoadhimishwa na manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti ambapo ametumia fursa hiyo kuhamasisha wanaume kupima VVU kwani takwimu zinaonyesha asilimia ndogo ya wanaume wanajitokeza kupima.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akizungumza na mtoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa VVU wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani.
Mtoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ITtoOH4FEljyhAV1aM33DxD93I2JZgUbZw5uFxjHNC9To1bePfV5kfop7wIW2kqUUs1yljb85HolJXDnfpAd4Fmedx7SBTtB/jokate.jpg)
JOKATE AMTOLEA CHOZI JERRY SILAA
10 years ago
GPLZIARA YA MHE. JERRY SILAA MALAMPAKA
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/211.jpg)
JERRY SILAA AMPIGIA DEBE GODFREY MGIMWA
11 years ago
Michuzi04 Jul
10 years ago
Dewji Blog19 Nov
Jerry Silaa kumsomesha binti aliyepangua nondo kiufanisi
“Mwaka 2011 Doreen Kabuche alimaliza Kidato cha sita Benjamin Mkapa na kuwa best female student. Tulimwita na nikamzawadia laptop ya 1,500,000 Mwaka huu amekuwa best student UDSM kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada adimu ya takwimu bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam wataoangalia mifuko yetu ya pension Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam” , ni maneno ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa alipokuwa akizungumza mbele ya waandishi wa habari...
10 years ago
Vijimambo01 May
Jerry Silaa ampa Magufuli mbinu za kushinda Urais
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2702734/highRes/1003484/-/maxw/600/-/i0kt5e/-/magufuli.jpg)
Dar es Salaam. Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kuangalia uwezekano wa kuongeza fedha za Mfuko wa Barabara katika mkoa wa Dar es Salaam ili kujihakikishia kura ikiwa atagombea Urais kama anavyotajwa.Silaa alitoa kauli hiyo juzi wakati wa hafla ya...