Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“Taarifa zinazotolewa na wanaojiita viongozi wa Machinga Complex zipuuzwe”- Jerry Silaa

unnamed

Halmasahuri ya Manispaa ya Ilala imesikitishwa sana na habari za upotoshwaji zilizofanywa na wanaojiita viongozi wa soko la Machinga complex zikimlenga Mstahiki Meya wa Halmashauri Mhe.Jerry Silaa.

Ieleweke wazi soko la Machinga Complex linamilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na lina Bodi na Manejimenti ya Soko, kikundi cha watu wanaojita viongozi hawako kisheria lakini ndio walewale waliochangisha fedha kwa wafanyabiashara kinyume cha sheria na kujenga mabanda kuzunguka soko...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Majibu ya Mh.Jerry Silaa kuhusiana na taarifa zinazosambazwa mitandaoni

Nimepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni ikidaiwa ni mawasiliano baina yangu na Ridhiwani Kikwete, Mjumbe wa NEC na Mbunge mteule wa Jimbo la Chalinze.
Ingawa si tabia yangu kukanusha mambo yaliyotengenezwa kwa sababu anazojua muandaaji lakini kwa idadi ya simu nilizopokea kwa faida ya wengi ni bora niseme yafuatayo.
1.Kwa wanaofahamu matumizi ya whatsapp, screen shot hii ilipaswa kutoka kwenye simu yangu, kwa maana nyingine ni mimi mwenyewe ndiye chanzo cha...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MH. JERRY SILAA BAADA YA KUIBIWA AKAUNTI ZAKE ZA FACEBOOK NA TWITTER

TAHADHARI  Hii ni taarifa kwa umma kwa ujumla kwamba mtu au kikundi cha watu wasiojulikana na wasiokuwa waaminifu wametengeneza au kuingia kwa jinai kwenye anuani yangu ya facebook na Twiter (TWITA) kuanzia tarehe 6 Juni 2014 kupelekea mimi kushindwa kufanya chochote ikiwamo kuandika au kuposti kitu chochote tokea tarehe 7 Juni 2014. Kwa taarifa hii ijulikane kuwa posti zote toka tarehe 7 June 2014 sio zangu au sihusiki nazo. Kwamba watu hao wanaojifanya ni mimi wanatumia maneno au jina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex

WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa  katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao  katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Hatujengi Machinga Complex’

Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam imesema haina mpango wa kujenga majengo makubwa ya biashara kama Machinga Complex, na badala yake iko kwenye mkakati wa kuanzisha vituo vidogo vya wafanyabiashara wadogo katika kila kituo cha daladala.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Machinga Complex kuboreshwa kuvutia wawekezaji

JENGO la kisasa la biashara lijulikanalo kama ‘Machinga Complex’, lililopo jijini Dar es Salaam muda wowote kuanzia sasa linatarajiwa kufanyiwa maboresho muhimu, ili kuleta mvuto zaidi wa kibiashara kwa bidhaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex yaungua kwa moto

Jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu ‘Machinga Complex’ lililopo Karume, jijini hapa limeungua moto wakati mafundi wakifanya matengenezo ya kupanua vizimba vya biashara katika ghorofa ya tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex ‘kuuzwa’ kwa wachina

Dar es Salaam. Jengo la Machinga Complex linatarajiwa kuuzwa kwa wafanyabiashara wa China kwa Sh86 bilioni na Manispaa ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kushindwa kulipa kodi.

 

10 years ago

GPL

MOTO WAZUKA JENGO LA MACHINGA COMPLEX LEO

Moto waibuka jengo la Machinga Complex jijini Dar wazimwa kabla haujaleta madhara makubwa. 
Moshi ukiwa umetanda…

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO LA MACHINGA COMPLEX LAUNGUA KWA MOTO

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa jengo la Machinga Complex la jijini Dar es Salaam limeungua kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Tunalifuatilia kwa karibu kuweza kujua chanzo cha moto na madhara yake na itakapofika muda muafaka tutawajulisha habari kamili kwa kina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani