Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Machinga Complex ‘kuuzwa’ kwa wachina

Dar es Salaam. Jengo la Machinga Complex linatarajiwa kuuzwa kwa wafanyabiashara wa China kwa Sh86 bilioni na Manispaa ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kushindwa kulipa kodi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex yaungua kwa moto

Jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu ‘Machinga Complex’ lililopo Karume, jijini hapa limeungua moto wakati mafundi wakifanya matengenezo ya kupanua vizimba vya biashara katika ghorofa ya tatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex

WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa  katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao  katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO LA MACHINGA COMPLEX LAUNGUA KWA MOTO

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa jengo la Machinga Complex la jijini Dar es Salaam limeungua kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Tunalifuatilia kwa karibu kuweza kujua chanzo cha moto na madhara yake na itakapofika muda muafaka tutawajulisha habari kamili kwa kina.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Hatujengi Machinga Complex’

Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam imesema haina mpango wa kujenga majengo makubwa ya biashara kama Machinga Complex, na badala yake iko kwenye mkakati wa kuanzisha vituo vidogo vya wafanyabiashara wadogo katika kila kituo cha daladala.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Machinga Complex kuboreshwa kuvutia wawekezaji

JENGO la kisasa la biashara lijulikanalo kama ‘Machinga Complex’, lililopo jijini Dar es Salaam muda wowote kuanzia sasa linatarajiwa kufanyiwa maboresho muhimu, ili kuleta mvuto zaidi wa kibiashara kwa bidhaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Waathirika wa moto Karume wahamishiwe Machinga Complex

Kati ya changamoto kubwa zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam ni uhaba wa masoko yenye miundombinu bora.

 

11 years ago

Habarileo

‘Soko la Mchikichini livunjwe kuiokoa Machinga Complex’

BAADA ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kubainisha upungufu uliopo katika Soko la Machinga Complex Ilala jijini Dar es Salaam ikiwemo soko hilo kujiendesha kwa hasara, baadhi ya wabunge wameshauri Serikali iangalie uwezekano wa kuvunja Soko la Mchikichini lililopo jirani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kituo Machinga Complex chatengewa mil. 250/-

KITUO kipya cha mabasi eneo la Machinga Complex, kimetengewa sh. milioni 250 kati ya milioni 450 zilizoombwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala. Meya wa Manispaa hiyo, Jerry Silaa, alisema...

 

10 years ago

GPL

MOTO WAZUKA JENGO LA MACHINGA COMPLEX LEO

Moto waibuka jengo la Machinga Complex jijini Dar wazimwa kabla haujaleta madhara makubwa. 
Moshi ukiwa umetanda…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani