Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jerry Silaa ampa Magufuli mbinu za kushinda Urais

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akikagua ujenzi wa daraja la Chipogolo katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma katika ziara ya kutembelea na kukagua barabara ya Iringa - Dodoma. Picha na Maktaba
Dar es Salaam. Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kuangalia uwezekano wa kuongeza fedha za Mfuko wa Barabara katika mkoa wa Dar es Salaam ili kujihakikishia kura ikiwa atagombea Urais kama anavyotajwa.Silaa alitoa kauli hiyo juzi wakati wa hafla ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KAMPENI: Jerry Silaa ampa Magufuli mbinu za kushinda Urais

>Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kuangalia uwezekano wa kuongeza fedha za Mfuko wa Barabara katika mkoa wa Dar es Salaam ili kujihakikishia kura ikiwa atagombea Urais kama anavyotajwa.

 

10 years ago

Michuzi

wapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga

 Wananchi wa Jimbo la Ukonga wakiwa nyumbani kwa mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea, Jerry Silaa.Mgombea Jerry Silaa akishukuru wapiga kura baada ya kuibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October...

 

9 years ago

Habarileo

Kilichombeba Magufuli kushinda urais

TANZANIA imeandika historia mpya, ambapo jana imempata Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Pombe Magufuli, ambaye alikuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu uliohitimishwa Jumapili ya Oktoba 25, mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli: Naona dalili njema kushinda urais

MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema ameona dalili njema ya ushindi kwani kabla ya kupiga kura yake jana mjini Chato, mvua ilianza kunyesha. Dk Magufuli alisema hayo jana muda mfupi baada ya kumaliza kupiga kura yake katika Shule ya Msingi ya Magufuli wilaya ya Chato Mkoa wa Geita.

 

9 years ago

GPL

JOKATE AMTOLEA CHOZI JERRY SILAA

Na Hamida Hassan
MWANADADA ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amemwaga chozi baada ya kupata taarifa za kukosa ubunge wa Jimbo la Ukonga kwa aliyekuwa Meya wa Ilala, Jerry Silaa na kusema ameumia kuliko maelezo. Mwanadada ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo. Akizungumza na Ijumaa juzi, Jokate ambaye ni mtu wa karibu sana na mheshimiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa ahimiza upimaji wa VVU

HIV_47

Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa jana amehudhuria maadhimisho ya siku ya UKIMWI  iliyoadhimishwa na manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti ambapo ametumia fursa hiyo kuhamasisha wanaume kupima VVU kwani takwimu zinaonyesha asilimia ndogo ya wanaume wanajitokeza kupima.

HIV_11

HIV_20

Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akizungumza na mtoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa VVU wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani.

HIV_23

Mtoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MHE. JERRY SILAA MALAMPAKA

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa aikwahutubia wananchi wa Kata ya Malampaka wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu jana. Wananchi wa kata ya Malampaka wakimsikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikilitolewa na Mh. Jerry Silaa.…

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA AMPIGIA DEBE GODFREY MGIMWA

  Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw. Jerry Silaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Ibumila kata ya Mgama, jana. Jerry…

 

11 years ago

Michuzi

Majibu ya Mh.Jerry Silaa kuhusiana na taarifa zinazosambazwa mitandaoni

Nimepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni ikidaiwa ni mawasiliano baina yangu na Ridhiwani Kikwete, Mjumbe wa NEC na Mbunge mteule wa Jimbo la Chalinze.
Ingawa si tabia yangu kukanusha mambo yaliyotengenezwa kwa sababu anazojua muandaaji lakini kwa idadi ya simu nilizopokea kwa faida ya wengi ni bora niseme yafuatayo.
1.Kwa wanaofahamu matumizi ya whatsapp, screen shot hii ilipaswa kutoka kwenye simu yangu, kwa maana nyingine ni mimi mwenyewe ndiye chanzo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani