Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilichombeba Magufuli kushinda urais

TANZANIA imeandika historia mpya, ambapo jana imempata Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Pombe Magufuli, ambaye alikuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu uliohitimishwa Jumapili ya Oktoba 25, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magufuli: Naona dalili njema kushinda urais

MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema ameona dalili njema ya ushindi kwani kabla ya kupiga kura yake jana mjini Chato, mvua ilianza kunyesha. Dk Magufuli alisema hayo jana muda mfupi baada ya kumaliza kupiga kura yake katika Shule ya Msingi ya Magufuli wilaya ya Chato Mkoa wa Geita.

 

10 years ago

Vijimambo

Jerry Silaa ampa Magufuli mbinu za kushinda Urais

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akikagua ujenzi wa daraja la Chipogolo katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma katika ziara ya kutembelea na kukagua barabara ya Iringa - Dodoma. Picha na Maktaba
Dar es Salaam. Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kuangalia uwezekano wa kuongeza fedha za Mfuko wa Barabara katika mkoa wa Dar es Salaam ili kujihakikishia kura ikiwa atagombea Urais kama anavyotajwa.Silaa alitoa kauli hiyo juzi wakati wa hafla ya...

 

10 years ago

Mwananchi

KAMPENI: Jerry Silaa ampa Magufuli mbinu za kushinda Urais

>Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kuangalia uwezekano wa kuongeza fedha za Mfuko wa Barabara katika mkoa wa Dar es Salaam ili kujihakikishia kura ikiwa atagombea Urais kama anavyotajwa.

 

11 years ago

Habarileo

January-Nimejipanga kushinda urais 2015

NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hakuna mwanasiasa yeyote anayemhofia kuwa kikwazo katika harakati zake za kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangaza nia hiyo Aprili mwaka huu. Januari alitangaza nia hiyo alipokuwa akihojiwa katika kituo cha Dira ya Dunia kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).

 

10 years ago

Mwananchi

Hatihati ya Maalim Seif kushinda urais Zanzibar

Tayari Maalim Seif  Sharifu  Hamadi,  ameshachukua fomu ili kuomba ridhaa ya chama chake kimkubalie tena kukiwakilisha kwa mara ya tano mfululizo kugombea kiti cha urais wa Zanzibar.

 

10 years ago

Raia Mwema

Sishangai Magufuli kushinda

NIANZE makala hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuiwezesha Tanzania yetu kufika salama siku y

Evarist Chahali

 

5 years ago

BBCSwahili

Lazarus Chakwera: Kutoka kuongoza makanisa ya Walokole mpaka kushinda Urais wa Malawi

Chakwera anakuwa kiongozi wa kwanza wa upinzania Afrika kushinda uchaguzi baada ya kupinga matokeo ya awali ya uchaguzi mahakamani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mgombea urais ACT atambia Sera za chama chake kushinda uchaguzi mkuu

IMG_0146

Mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mughwira, akizungumza na waandishi wa habari jana muda mfupi baada ya kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida.Mughwira amesema kwa ujumla zoezi la uchaguzi katika halmashauri ya manispaa ya Singida,limeenda vizuri kwa amani na utulivu mkubwa.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

MGOMBEA urais kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,amesema endapo wapiga...

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli atamba kushinda kwa ‘tsunami’

SIKU moja baada ya matokeo ya utafiti wa taasisi huru ya Twaweza kuonesha kuwa anapaa katika urais, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ametamba kupata ushindi wa ‘tsunami’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani