Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jerry Silaa kumsomesha binti aliyepangua nondo kiufanisi

IMG_2994

“Mwaka 2011 Doreen Kabuche alimaliza Kidato cha sita Benjamin Mkapa na kuwa best female student. Tulimwita na nikamzawadia laptop ya 1,500,000 Mwaka huu amekuwa best student UDSM kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada adimu ya takwimu bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam wataoangalia mifuko yetu ya pension Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam” , ni maneno ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa alipokuwa akizungumza mbele ya waandishi wa habari...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZIARA YA MHE. JERRY SILAA MALAMPAKA

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa aikwahutubia wananchi wa Kata ya Malampaka wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu jana. Wananchi wa kata ya Malampaka wakimsikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikilitolewa na Mh. Jerry Silaa.…

 

9 years ago

GPL

JOKATE AMTOLEA CHOZI JERRY SILAA

Na Hamida Hassan
MWANADADA ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amemwaga chozi baada ya kupata taarifa za kukosa ubunge wa Jimbo la Ukonga kwa aliyekuwa Meya wa Ilala, Jerry Silaa na kusema ameumia kuliko maelezo. Mwanadada ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo. Akizungumza na Ijumaa juzi, Jokate ambaye ni mtu wa karibu sana na mheshimiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa ahimiza upimaji wa VVU

HIV_47

Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa jana amehudhuria maadhimisho ya siku ya UKIMWI  iliyoadhimishwa na manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti ambapo ametumia fursa hiyo kuhamasisha wanaume kupima VVU kwani takwimu zinaonyesha asilimia ndogo ya wanaume wanajitokeza kupima.

HIV_11

HIV_20

Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akizungumza na mtoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa VVU wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani.

HIV_23

Mtoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji...

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA AMPIGIA DEBE GODFREY MGIMWA

  Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw. Jerry Silaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Ibumila kata ya Mgama, jana. Jerry…

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Jerry Silaa aanza Ziara ya siku 10 Mkoani Simuyu

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa Mkoa wa Simiyu,Mh. Jerry Silaa ameanza ziara ya siku kumi katika Mkoa huo wa Simiyu,ambapo ziara yake hiyo ameianzia wilayani Busega kwenye kata za Lamadi ,Kiloleli na Kabita ambapo ameongea na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) toka ngazi ya shina hadi wilaya.Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa Mkoa wa Simiyu,Mh. Jerry Silaa akiwa na baadhi ya viongozi wa CCM wilayani hapo.Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Meya Jerry Silaa asimamisha ujenzi wa majengo Ilala

Ziara ya majengo

Mstahiki Meya wa Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (mwenye miwani) akiambatana na viongozi wenzake wametembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali,kulipiwa vibali kiwango kidogo kwa kuchakachua vipimo na kutovilipia kila mwaka.

Ziara ya majengo_6

Ziara ya majengo_8

Ziara ya majengo_1

Ziara ya majengo_2

 

Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa ya Ilala Themi Luther (katikati) akimpatia maelekezo .Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (kushoto) kuhusiana na usanifu wa jengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na...

 

11 years ago

Michuzi

Majibu ya Mh.Jerry Silaa kuhusiana na taarifa zinazosambazwa mitandaoni

Nimepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni ikidaiwa ni mawasiliano baina yangu na Ridhiwani Kikwete, Mjumbe wa NEC na Mbunge mteule wa Jimbo la Chalinze.
Ingawa si tabia yangu kukanusha mambo yaliyotengenezwa kwa sababu anazojua muandaaji lakini kwa idadi ya simu nilizopokea kwa faida ya wengi ni bora niseme yafuatayo.
1.Kwa wanaofahamu matumizi ya whatsapp, screen shot hii ilipaswa kutoka kwenye simu yangu, kwa maana nyingine ni mimi mwenyewe ndiye chanzo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

Jerry Silaa ampa Magufuli mbinu za kushinda Urais

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akikagua ujenzi wa daraja la Chipogolo katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma katika ziara ya kutembelea na kukagua barabara ya Iringa - Dodoma. Picha na Maktaba
Dar es Salaam. Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kuangalia uwezekano wa kuongeza fedha za Mfuko wa Barabara katika mkoa wa Dar es Salaam ili kujihakikishia kura ikiwa atagombea Urais kama anavyotajwa.Silaa alitoa kauli hiyo juzi wakati wa hafla ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani