Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Jerry Silaa aanza Ziara ya siku 10 Mkoani Simuyu

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa Mkoa wa Simiyu,Mh. Jerry Silaa ameanza ziara ya siku kumi katika Mkoa huo wa Simiyu,ambapo ziara yake hiyo ameianzia wilayani Busega kwenye kata za Lamadi ,Kiloleli na Kabita ambapo ameongea na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) toka ngazi ya shina hadi wilaya.Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa Mkoa wa Simiyu,Mh. Jerry Silaa akiwa na baadhi ya viongozi wa CCM wilayani hapo.Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIKU YA TATU YA ZIARA YA NDG.JERRY SILAA MKOANI SIMIYU

Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Jerry Silaa imeingia siku ya 3 kwa kutembelea wilaya ya Maswa ambapo ameongea na viongozi wa CCM wa ngazi za Vijiji na Vitongoji na amehutubia mkutano wa hadhara kata ya Malampaka. Ndg. Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa Malampaka…

 

10 years ago

Michuzi

Siku ya tatu ya ziara ya Ndg Jerry Silaa mkoani Simiyu

 Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Jerry Silaa imeingia siku ya 3 kwa kutembelea wilay ya Maswa ambapo ameongea na viongozi wa CCM wa ngazi za Vijiji na Vitongoji na amehutubia mkutano wa hadhara kata ya Malampaka.  Ndg Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa MalampakaWananchi wa Malampaka wakimsikiliza Ndg Jerry Silaa

 

10 years ago

Michuzi

Ndg Jerry Silaa aendelea na ziara yake mkoani simiyu


Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na mlezi wa mkoa wa Simiyu Jerry Silaa akiongea na wananchi wa kijiji cha Mwamhongo wilayani Meatu, mkoa wa Simiyu. Ndg. Jerry Silaa amechangia mabati 50 kusaidia ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Mwamhongo kata ya Mwasengela kilometa 94 toka makao makuu ya Wilaya ya Meatu. Ndg.Jerry amekuwa kiongozi wa kwanza wa Chama chochote wa ngazi ya Taifa kukanyaga ardhi ya Kijiji hiki. Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Jerry Silaa ambaye ni Mlezi wa mkoa wa simiyu leo katika...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MHE. JERRY SILAA MALAMPAKA

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa aikwahutubia wananchi wa Kata ya Malampaka wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu jana. Wananchi wa kata ya Malampaka wakimsikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikilitolewa na Mh. Jerry Silaa.…

 

9 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalikiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo leo Desemba 28, 2015. Kushoto ni Mwenye kiyi wa CCM wa mkoa wa Kigoma, Walid Kabourou. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Muu, Kassim Majliwa akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo leo Desemba 28, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME

Waziri wa Nishati na Madini akiulizia utekelezaji wa umeme katika kijiji cha Kamgendi katika siku yake ya kwanza ya siku 6 za ziara katika Wilaya zote za Mkoa wa MaraMeneja wa TANESCO mkoani Mara, Henry Byabato (kulia) akifafanua usambazaji wa umeme vijijini katika mkoa huoWananchi wakimsikiliza

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA MKOANI TANGA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Handeni ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdala Kigoda wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu ,Mkata wilaya ya Handeni mkoani Tanga.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia ngoma ya asili ya Kizigua
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa Mkata wilayani Handeni waliojitokeza kwenye mapokezi ya katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA MKOANI MTWARA

 Vijana wa CCM wilaya ya Masasi wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili Nanganga wilaya ya Masasi mkoani Mtwara ikiwa siku yake ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Mtwara baada ya kumaliza siku 8 za ziara mkoani Lindi. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi wa CCM wilaya ya Masasi mara baada ya kuwasili mkoani humo ambapo anatarajiwa kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kubangua...

 

10 years ago

GPL

MH. LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI RUKWA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Injinia Stella Manyanya alipowasili uwanja wa ndege wa Sumbawanga kuanza ziara ya kutatua migogoro ya ardhi Mkoani humo. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akimpokea Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi alipowasili eneo la Jangwani mjini Sumbawanga kuweka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani