Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA TATU YA ZIARA YA NDG.JERRY SILAA MKOANI SIMIYU

Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Jerry Silaa imeingia siku ya 3 kwa kutembelea wilaya ya Maswa ambapo ameongea na viongozi wa CCM wa ngazi za Vijiji na Vitongoji na amehutubia mkutano wa hadhara kata ya Malampaka. Ndg. Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa Malampaka…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Siku ya tatu ya ziara ya Ndg Jerry Silaa mkoani Simiyu

 Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Jerry Silaa imeingia siku ya 3 kwa kutembelea wilay ya Maswa ambapo ameongea na viongozi wa CCM wa ngazi za Vijiji na Vitongoji na amehutubia mkutano wa hadhara kata ya Malampaka.  Ndg Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa MalampakaWananchi wa Malampaka wakimsikiliza Ndg Jerry Silaa

 

10 years ago

Michuzi

Ndg Jerry Silaa aendelea na ziara yake mkoani simiyu


Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na mlezi wa mkoa wa Simiyu Jerry Silaa akiongea na wananchi wa kijiji cha Mwamhongo wilayani Meatu, mkoa wa Simiyu. Ndg. Jerry Silaa amechangia mabati 50 kusaidia ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Mwamhongo kata ya Mwasengela kilometa 94 toka makao makuu ya Wilaya ya Meatu. Ndg.Jerry amekuwa kiongozi wa kwanza wa Chama chochote wa ngazi ya Taifa kukanyaga ardhi ya Kijiji hiki. Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Jerry Silaa ambaye ni Mlezi wa mkoa wa simiyu leo katika...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Jerry Silaa aanza Ziara ya siku 10 Mkoani Simuyu

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa Mkoa wa Simiyu,Mh. Jerry Silaa ameanza ziara ya siku kumi katika Mkoa huo wa Simiyu,ambapo ziara yake hiyo ameianzia wilayani Busega kwenye kata za Lamadi ,Kiloleli na Kabita ambapo ameongea na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) toka ngazi ya shina hadi wilaya.Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa Mkoa wa Simiyu,Mh. Jerry Silaa akiwa na baadhi ya viongozi wa CCM wilayani hapo.Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM ambaye ni mlezi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa awasha umeme shule ya msingi Ipililo A wilayani Simiyu

Maswa kijijini_25

Mlezi wa Mkoa wa Simiyu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akikabidhi mchango wa shilingi milioni moja kwa Mwalimu Macha mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Ipililo A akipokea kwa niaba ya wananchi ili kuunganishwa na Umeme shuleni hapo.

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MHE. JERRY SILAA MALAMPAKA

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa aikwahutubia wananchi wa Kata ya Malampaka wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu jana. Wananchi wa kata ya Malampaka wakimsikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikilitolewa na Mh. Jerry Silaa.…

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI AWASILI MKOANI RUKWA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU, AAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VITEULE VYA JESHI VYA KIRANDO NA KASANGA MKOANI RUKWA

Katibu Mkuu wa Wiazara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Ndugu Job Masima akishuka kwenye ndege aina ya Auric Air katika uwanja wa ndege wa Sumbawanga mapema jana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Rukwa kufuatia mwaliko wa Mkuu wa Mkoa huo Injinia Stella Manyanya. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya kulia akimtambulisha Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Symthies Pangisa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Job Masima mara baada ya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA ya Kamani wilayani Busega, Mkoani Simiyu.

Mbunge wa Jimbo la Busega, ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, akishuhudia maji yakitiririka baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Kijiji cha Manala Kata ya Badugu wilayani Busega. Kulia ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Busega, Agatha Magonela.
Dk. Kamani akimtwisha ndoo ya maji mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Manala, baada ya kufungua mradi huo.
Dk. Kamani akikagua msingi wa Kituo cha kulelea walemavu wa ngozi (albino) kinachojegwa katika Kijiji cha Lukungu...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDELEA NA ZIARA ZAKE ZA KAMPENI, MAGU MKOANI SIMIYU LEO

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Magu Mkoa wa Simiyu katika viwanja vya Sabasaba katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika leo Alhamisi 15/10/2015 
  Mhe. Freeman Mbowe akitoa elimu ya upigaji kura katika viwanja vya Sabasaba,Jimbo la Magu mkoani Simiyu, leo Alhamisi 15/10/2015  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDELEA NA ZIARA ZAKE ZA KAMPENI, BARIADI MKOANI SIMIYU LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Bariadi (hawapo pichani) wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Mpira wa Halmashauri Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, anazoendelea kuzifanya katika Majimbo mbali mbali ya Uchaguzi hapa nchini. Katika ziara hiyo, Mh. Lowassa aliambatana na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye pamoja na Mwanasheria wa CHADEMA,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani