Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein, Maalim Seif wateta Ikulu

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekutana katika Ikulu ya Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mkuu uliofutwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli, Maalim Seif wateta

Rais John Magufuli amekutana na aliyekuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na kujadili mgogoro wa kisiasa unaoendelea visiwani humo huku Rais akimhakikishia kuendelea kudumisha amani na utulivu.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa, Maalim Seif wateta kwa dakika 90

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alifanya mazungumzo ya takriban saa moja na nusu na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuhusu hali ya sintofahamu ya Zanzibar iliyosababishwa na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa visiwa hivyo.

 

5 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI NA DK. SHEIN WATETA KABLA YA KUANZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, IKULU YA CHAMEINO MJINI DODOMA, LEO


Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kufanyika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Shein na Maalim Seif

Halmashauri Kuu ya CCM imempitisha Dk Ali Mohamed Shein kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa awamu ya pili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif awavaa JK, Dk. Shein

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amewataka Rais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein wasikubali kudanganywa na vigogo waliosimamia Bunge Maalum la Katiba (BMK)....

 

9 years ago

Habarileo

Shein rasmi kumvaa Maalim Seif

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar, akiomba ridhaa kwa wananchi aweze kuongoza katika kipindi kingine cha miaka mitano, ambapo sasa atapambana na mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad.

 

9 years ago

BBCSwahili

Zanzibar:Shein akutana na Maalim Seif

Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiwa cha Zanzibar yameendelea huku mkutano uliowaleta pamoja rais Ali Mohammed Shein na kiongozi wa upinzani Seif Sharrif Hamad ukifanyika.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Shein avutana na Maalim Seif Zanzibar

Na Esther Mbussi, Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25  mwaka huu.

Alisema kauli inayozungumzwa na wapinzani kwamba chama hicho kimekuwa kikiiba kura katika uchaguzi ni kauli za ghiliba na vitisho ambazo hazipaswi kutolewa na kiongozi aliyebobea.

Rais huyo wa Zanzibar pia alisema hakuna sababu za msingi za kuifanyia mabadiliko Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiwamo kuwaondoa watendaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani