Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Magufuli, Maalim Seif wateta

Rais John Magufuli amekutana na aliyekuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na kujadili mgogoro wa kisiasa unaoendelea visiwani humo huku Rais akimhakikishia kuendelea kudumisha amani na utulivu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Shein, Maalim Seif wateta Ikulu

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekutana katika Ikulu ya Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mkuu uliofutwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa, Maalim Seif wateta kwa dakika 90

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alifanya mazungumzo ya takriban saa moja na nusu na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuhusu hali ya sintofahamu ya Zanzibar iliyosababishwa na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa visiwa hivyo.

 

9 years ago

Mwananchi

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif,  leo Ikulu jijini Dar.

Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli, (katikati) na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu wakiwa katika picha ya pamoja.
Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli wakiongea na wanahabari.  Seif Sharif akiagana na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu.

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli akutana na Maalim Seif kujadili hali ya siasa Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amekutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif Hamad Ikulu Jijini Dar es Salaam kujadili hali ya siasa inavyoendelea visiwani Zanzibar

 Mazungumzo ya Viongozi hao yamehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Viongozi hawa kwa pamoja wamejadili hali ya kisiasa Zanzibar na wamefurahishwa na hali ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ASEMA AMEFURAHI KUKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MAGUFULI


Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya Jamii
MWANASIASA mkongwe nchini ambaye kwa sasa ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema anamshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa kukutana na kufanya mazungumzo naye.
Maalim Seif amekutana na Rais Magufuli ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ajiunge na ACT –Wazalendo akitokea Chama cha Wananci(CUF).Hata hivyo kabla ya kuondoka CUF alishawahi kukutana na kufanya mazungumzo na Rais.
Akizungumza baada ya mazungumzo yake na Rais Magufuli,...

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA MEZA YA MHARIRI: Dk Magufuli anapomtaka Maalim Seif ‘apige kazi’ Z’bar

Wiki iliyopita ilikuwa “Wiki ya Zanzibar.” Kwa nini? Kwa sababu wapinzani wakuu wawili kisiasa visiwani walikuwa Dar es Salaam.

 

9 years ago

MillardAyo

Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli leo Desemba 21,2015 amekutana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif  Ikulu Dar es salaam na kufanya naye Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa visiwani humo.           Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani