Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli akutana na Maalim Seif kujadili hali ya siasa Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amekutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif Hamad Ikulu Jijini Dar es Salaam kujadili hali ya siasa inavyoendelea visiwani Zanzibar

 Mazungumzo ya Viongozi hao yamehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Viongozi hawa kwa pamoja wamejadili hali ya kisiasa Zanzibar na wamefurahishwa na hali ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli akutana na Seif kujadili Zanzibar

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Zanzibar-CUF Maalim Seif Hamad amefanya mazungumzo na rais John Magufuli wa Tanzania kuhusu kisiwa hicho

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif,  leo Ikulu jijini Dar.

Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli, (katikati) na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu wakiwa katika picha ya pamoja.
Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli wakiongea na wanahabari.  Seif Sharif akiagana na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TAMWA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi Jumuiya ya Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar (TAMWA Zanzibar), walipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya mazungumzo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mratibu wa TAMWA Zanzibar bi Mzuri Issa nyumbani kwake Mbweni.
Mratibu wa TAMWA Zanzibar bi Mzuri Issa akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAALIM SEIF SHARIF HAMADI IKULU JIJINI DAR LEO

maa1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha  Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya  Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa ya  Zanzibar. Katika Mazungumzo hayo viongozi wote wamefurahishwa na hali ya usalama na utulivu inayoendelea.maa2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASIASA MKONGWE MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt....

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU : Dawa ya Zanzibar ni Rais Magufuli kukubali kufanya kazi na Maalim Seif

Kwa kawaida katika maisha ya kila siku kiburi na jeuri havimsaidii mwanadamu. Nimesoma kwenye magazeti habari inayogusa maisha ya Watanzania wengi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amezungumza na makamu wa rais wa Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya CUF, Maalim Seif

 

9 years ago

BBCSwahili

Zanzibar:Shein akutana na Maalim Seif

Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiwa cha Zanzibar yameendelea huku mkutano uliowaleta pamoja rais Ali Mohammed Shein na kiongozi wa upinzani Seif Sharrif Hamad ukifanyika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani