Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKWELI UTAKUWEKA HURU : Dawa ya Zanzibar ni Rais Magufuli kukubali kufanya kazi na Maalim Seif

Kwa kawaida katika maisha ya kila siku kiburi na jeuri havimsaidii mwanadamu. Nimesoma kwenye magazeti habari inayogusa maisha ya Watanzania wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ASEMA AMEFURAHI KUKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MAGUFULI


Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya Jamii
MWANASIASA mkongwe nchini ambaye kwa sasa ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema anamshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa kukutana na kufanya mazungumzo naye.
Maalim Seif amekutana na Rais Magufuli ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ajiunge na ACT –Wazalendo akitokea Chama cha Wananci(CUF).Hata hivyo kabla ya kuondoka CUF alishawahi kukutana na kufanya mazungumzo na Rais.
Akizungumza baada ya mazungumzo yake na Rais Magufuli,...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John...

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Chadema mbioni kufa?

Malalamiko mengi yamezuka  hususani ugawaji wa viti maalumu ya ubunge na udiwani ndani  ya chama kikuu  cha upinzani nchini. Mitandoni maoni na malalamiko yamesheheni kiasi kwamba mtu unaweza kuanza kufikiria “Chadema mbioni kufa?”

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli akutana na Maalim Seif kujadili hali ya siasa Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amekutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif Hamad Ikulu Jijini Dar es Salaam kujadili hali ya siasa inavyoendelea visiwani Zanzibar

 Mazungumzo ya Viongozi hao yamehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Viongozi hawa kwa pamoja wamejadili hali ya kisiasa Zanzibar na wamefurahishwa na hali ya...

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: CCM inapomwaga ugali, Ukawa inamwaga mboga

Sasa tumeingia katika kipindi cha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu. Katika uchaguzi huo Watanzania kwa mara nyingine watapata fursa ya kuwachagua madiwani, wabunge na Rais wa awamu ya tano.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASIASA MKONGWE MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt....

 

10 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Wasira anatumia kigezo gani kuutamka ushetani wa wapinzani

>Wakati joto la uchaguzi 2015 likiendelea  kupanda nchini, propaganda za kuwachafua wapinzani zinazidi kuongezeka.

 

11 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kweli Kinana shujaa, jasiri anayetoboa siri ya CCM

>Kama tulivyoona wiki iliyopita, siasa zimeendelea kuwa za mazoea katika nchi yetu, lakini zina madhara. Ni yapi hayo, endelea…

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Mwaka Mpya Serikali ya CCM iache woga kwa wapinzani

Awali ya yote napenda kuwatakia heri na Baraka za Mwenyezi Mungu kwa wasomaji wangu wote na wananchi kwa ujumla “ Heri ya Mwaka Mpya na Baraka tele kwenu nyote.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani